Savvy FM
Savvy FM
23 September 2025, 19:03
Taasisi ya utafiti wa wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) na Mamlaka ya hifadhi za Taifa (TANAPA), imeanza zoezi maalum la kuvalisha tembo mikanda ya mawasiliano katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, mkoani…
23 September 2025, 13:01
Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Modest Mkude amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuwainua watu kiuchumi kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo mradi wa TASAF, ambapo takribani walengwa 4,877 wamenufaika na mradi huo jijini Arusha kwa…
18 September 2025, 22:26
Baada ya changamoto ya muda mrefu ya kutokuwepo kwa huduma ya upasuaji kwa wajawazito, Kituo cha Afya cha Ngarenaro mkoani Arusha kimezindua rasmi huduma hiyo muhimu, hatua inayolenga kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua. Na Jenipha Lazaro…
3 September 2025, 14:47
Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia kampuni tanzu Mati Technologies imekuja na teknolojia ya kisasa ya Ndege nyuki (drone) kwa ajili ya sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii ili kuongeza ufanisi. Na Mussa Kinkaya Mkurugenzi Mtendaji wa…
2 September 2025, 16:48
Mtendaji wa Kata ya Sakina, mkoani Arusha, anatuhumiwa kuhamisha baadhi ya fedha za miradi ya maendeleo na kuziweka kwenye akaunti yake binafsi, hali iliyosababisha kusimama kwa ujenzi wa kivuko muhimu kwa wakazi wa eneo hilo. Na Jenipha Lazaro Tuhuma hizo…
1 September 2025, 15:54
Wananchi waishio katika mtaa wa Kiriki A, kata ya Olsunyai, mtaa wa JR, jijini Arusha, wameiomba serikali na mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kudhibiti utupaji wa taka hovyo kwenye mto Burka, wakieleza kuwa hali hiyo ni hatarishi kwa afya…
1 September 2025, 15:48
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Amos Makalla, ameanza rasmi ziara yake ya kikazi mkoani hapa kwa kutembelea taasisi mbalimbali za kidini, akianza na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ambapo ametoa wito kwa viongozi wa dini kuendelea kushirikiana na…
28 August 2025, 17:39
Jamii za kifugaji zimetakiwa kuwathamini wanyama kazi hususani mnyama punda, ikiwa ni pamoja na kuondokana na dhana potofu zinazowanyima haki zao kama vile uchinjaji holela, kuwabebesha mizigo kupita kiasi, pamoja na kutowapatia huduma za afya na ustawi wa jumla. Na…
22 August 2025, 14:04
Familia moja iliyopo barabara ya Losaru mtaa wa Bondeni, Kijenge Kusini jijini Arusha imelalamikia utupaji wa taka hovyo na utiririshaji wa maji taka unaofanywa na baadhi ya wapangaji waliopo eneo hilo, hali inayohatarisha afya za wakazi pamoja na usalama wa…
21 August 2025, 23:15
Zaidi ya madawati 90 yamekabidhiwa katika shule ya sekondari ya Embris, iliyopo Kijiji cha Landanai, Kata ya Naberera, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara. Madawati hayo yametolewa na shirika lisilo la kiserikali la World Vision kwa lengo la kuiunga mkono serikali…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania