Savvy FM
Savvy FM
19 October 2025, 23:10
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini, Shabani Ferdinand Manyamba, ametangaza rasmi kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, kwa mujibu wa Kifungu cha 69(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais,…
18 October 2025, 22:15
Kufuatia kikao cha mkutano mkuu wa Kijiji cha Nambere kata ya sokoni 2 hapa mkoani Arusha kilichofanyika mwanzoni mwa mwezi huu, wananchi wa kijiji hicho wameazimia kuchukua hatua kali dhidi ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana, kina mama pamoja na…
14 October 2025, 14:54
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Amos Makalla, amewataka vijana nchini kuendelea kudumisha amani na utulivu kabla na baada ya uchaguzi, na kuacha kuendeshwa na mihemko ya mitandao ya kijamii inayohamasisha maandamano. Na Jenipha Lazaro Akizungumza na wazee wa Mkoa…
13 October 2025, 22:42
Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere, jumuiya za wazee wa mkoa wa Arusha wameandaa matembezi ya amani ikiwa na lengo la kumuenzi. Na Jenipha Lazaro Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa…
13 October 2025, 22:27
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, mamia ya wananchi wa Kata ya Ungalimitedi wamejitokeza kwa wingi katika Mtaa wa Darajani kumsikiliza mgombea udiwani wa Kata ya Ungalimited kupitia Chama cha Mapinduzi…
4 October 2025, 21:01
Maadhimisho ya Wiki ya Elimu ya watu wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi yamefanyika leo, Jumamosi tarehe 04 Oktoba 2025, katika viwanja vya Shule ya Msingi Levolosi, Wilaya ya Arusha. Maadhimisho haya yamekusanya washiriki mbalimbali wakiwemo walimu, wanafunzi wa…
3 October 2025, 15:33
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Joseph Modest Mkude amezindua rasmi taasisi isiyo ya kiserikali ya Nasimama na Mama Tanzania yenye lengo la kumuunga mkono Rais dk Samia Suluhu Hassan Katika kila analolifanya pamoja pia na kuwakwamua vijana na kina mama…
29 September 2025, 17:40
Wananchi wa Mitaa miwili ya Roman Katoliki (RC) na Mbeshere pamoja na viongozi wa Kata ya Oloirieni jijini Arusha, wamefanya kikao cha dharura kujadili tukio la hivi karibuni la maandamano yaliyofanywa na wananchi kuhusu tuhuma mbalimbali dhidi ya mwanamke mmoja…
26 September 2025, 23:43
Hali ya taharuki imetanda katika Mtaa wa Arc, Kata ya Oloirien, jijini Arusha, baada ya wananchi kuandamana wakipinga vitendo vya kile wanachodai ni ‘kubambikiziwa kesi’ na mama mmoja anayefahamika kwa jina la ‘Mchinaaa’, ambaye ni mmiliki wa baa maarufu katika…
25 September 2025, 19:05
Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Arusha umetembelea na kutoa msaada wa vifaa mbalimbali katika shule ya msingi Kaloleni, inayowahudumia watoto wenye mahitaji maalum, kama sehemu ya kuelekea maadhimisho ya Maulid yatakayofanyika Jumamosi hii jijini Arusha.…
Savvy FM Proposal Summary
Future Goals
Expand digital footprint internationally.
Maintain financial sustainability through ethical business practices.
Continue to innovate in programming and community service.
Contact Info
Phone: +255 787877778
Email: info@savvygroup.co.tz
Web: www.savvymediagroup.co.tz
Savvy FM Proposal Summary
Address: Plot 455, Block ‘C1’, Umoja Road, Njiro, Arusha, Tanzania