Radio Kwizera

Recent posts

March 30, 2021, 5:32 pm

Wananchi Buhigwe wampongeza Dr Mpango

Na; Albert Kavano Wakazi wa Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma wameeleza kupokea kwa furaha uteuzi wa aliyekuwa Mbunge wao Dr Phillip Mpango aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wamesema uteuzi…

March 25, 2021, 8:36 am

Biharamulo wahimizwa kuwajibika

Na; William Mpanju Serikali Wilayani  Biharamulo  Mkoani Kagera  imewataka  wananchi na watumishi wa umma kuendelea  kufanya kazi kwa bidii ili kumuenzi hayati  Dr John  Pombe Joseph Magufuli   Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Kanali  Mathias  Kahabi  amesema hayo wakati  akieleza namna wananchi  wa Biharamulo  wanavyotakiwa  kuendelea kumuenzi  kwa kufanya kazi kama ilivyokuwa kauli mbiu ya Dr Magufuli ya “Hapa Kazi Tu”…

March 24, 2021, 11:44 am

Ombi la waumini wa Kanisa Katoliki Chato kwa Rais Samia

Na; Elias Zephania Waumini wa Kanisa Katoliki la Bikra Maria, Parokia ya Chato mkoani Geita wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendeleza yale aliyoyaacha hayati Dkt. John Magufuli ikiwemo kudumisha umoja na mshikamano wa viongozi wa dini nchini. Wakizungumza na Radio…

Radio Kwizera

Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.