Pangani FM
Pangani FM
5 December 2025, 3:49 pm
Kutokufanya ukarabati na uchongaji wa barabara ni kuwatesa wananchi ambao wanahitaji miundombinu iliyokamilika. Na Victor Chigwada.Diwani wa Kata ya Muungano Wilaya ya Chamwino ameiomba Serikali kuingilia kati changamoto ya miundombinu ya barabara inayo ikabili kata hiyoili kurahisha huduma za kijamii.Akizungumzia…
20 November 2025, 3:46 pm
Wameiomba mamlaka husika kuwasaidia kujaza kifusi kinachoweza kustahimili msimu wa mvua . Na Victor Chigwada.Wakazi wa kijiji cha Mpwayungu, wilaya ya Chamwino wameeleza matesowanayo pitia kufuatia ubovu wa barabara hali inayo kwamisha shughuli zao. Wamesema kuwa ubovu huo wa miundombinu…
14 November 2025, 3:14 pm
Ameongeza kuwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni zitakuwa kipaumbele chake, hususan katika kuboresha barabara za mitaa ambazo zimekuwa kero kwa muda mrefu. Na Seleman Kodima.Baada ya kupata ushindi wa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Miyuji kwa kura zaidi ya…
8 October 2025, 12:04
Serikali imeendelea kuwakumbusha wamiliki wa vyombo vya habari kufuata matakwa ya kisheria kwa kuhakikisha wanatumia na kuajiri waandishi wa habari wenye taaluma ya habari. Na Josephine Kiravu Wamiliki wa vyombo vya habari mkoani Kigoma wametakiwa kuajiri wanahabari wenye taaluma ya…
8 October 2025, 11:39
Baraza la habari Tanzania (MCT) limetoa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari Mkoani Kigoma yenye lengo la kupambana na changamoto za habari na taarifa potofu, na mwongozo wa sheria kuhusu upatikanaji wa taarifa na ushiriki wa taasisi za Serikali katila…
September 21, 2025, 8:40 am
Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la matumizi ya nishati safi Na Stephano Simbeye KIKOSI cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT) 845KJ Itaka wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kimeanza kufundisha jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka za shambani.…
10 September 2025, 4:03 pm
Hata hivyo juhudi za kumpata meneja TANROAD Wilaya ya Chamwino hazikuweza kufanikiwa. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kijiji cha Ndogowe Kata ya Ngh’ambaku Wilaya ya Chamwino wameeleza kilio chao uchakavu wa barabara hali inayokwamisha huduma za usafirishaji kwa wananchi.Wamesema barabara inayotoka…
9 September 2025, 11:06 am
Na Marino Kawishe Zaidi ya Wananchi elfu Tatu kutoka kata nne za Galapo, Mamire, Endakiso na Qash zilizopo Wilayani Babati Mkoani Manyara wamejitokeza kupata huduma za afya katika kambi ya siku tano iliyomalizika jumamosi sept 6 iliyoandaliwa na Shirika la…
5 September 2025, 5:40 pm
Kwa mujibu wa Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 na marekebisho yake, kila dereva wa chombo cha moto anatakiwa kuendesha kwa kasi isiyozidi viwango vilivyowekwa, kuzingatia alama na michoro ya barabarani, pamoja na kuhakikisha usalama wa watembea kwa miguu…
4 September 2025, 9:55 am
Mradi huo wa maji ambao uko asilimia 99 kukamilika umetajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa Iringa. Na Hafidh Ally Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji imetekeleza ujenzi wa mradi mkubwa wa maji wa Ismani–Kilolo kwa…