Pangani FM

Uncategorized

11 April 2023, 11:05 am

Simanzi: Binti aliyejinyonga Pangani

Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Mwajuma Fadhili anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 14 mwanafunzi wa Darasa la Saba wa shule ya Msingi Kimang’a wilayani pangani Mkoani Tanga amekutwa amejinyonga Aprili 9 usiku. Akizungumza na Pangani FM kaimu mkuu…

13 February 2023, 4:32 pm

UZIKWASA yapongezwa kwa hili 2023

Na Erick Mallya Wadau mbalimbali wa mazingira wilayani Pangani Mkoani Tanga wamelishukuru shirika la UZIKWASA kwa kuanza kutoa mafunzo ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi pamoja na utunzaji wa mazingira wilayani humo. Kuanzia Februari 7 mpaka 10  shirika hilo…

14 December 2022, 9:44 pm

Kivuko cha Pangani kuanza kufanya kazi kwa saa 18

Hatimaye kufuatia hitaji la muda mrefu leo hii Serikali Wilayani Pangani Mkoani Tanga imetangaza kuwa Kivuko cha Pangani-Bweni kimeongezewa muda wa saa 2 za kufanya kazi tofauti na muda wa awali ambapo klikuwa kikifanya kazi kuanzia saa 12 Asubuh mpaka…

22 November 2022, 4:35 pm

Mguso kwa Watumishi wapya Pangani.

Watumishi wa kada mbalimbali za Halmashauri ya wilaya ya Pangani waloshiriki kwenye mafunzo ya Siku tatu ya uongozi wa mguso yanayotolewa na Shirika la UZIKWASA wamelishukuru shirika hilo na kuahidi kuyafanyia kazi ili kuongeza ufanisi katika utoaji huduma pamoja na…

25 October 2022, 12:18 pm

Wagawa Mizinga 40 ya Nyuki Pangani

Taasisi ya Foundation for Trees Tanzania iliyopo Jijini Tanga  imetoa Mizinga 40 ya Nyuki kwa Kikundi cha Ufugaji Nyuki cha MSETO kilichopo Wilayani Pangani ili kuwezesha wananchi hao kufanya shughuli za ufugaji na kuachana na uharibifu wa Mazingira. Akizungumza wakati…

19 October 2022, 2:50 pm

Mpango wa Ofisi ya Umwagiliaji Pangani.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuanzisha Ofisi ya umwagiliaji wilayani Pangani ili kusaidia sekta ya kilimo wilayani humo ambayo imeonekana kuathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi huku wahanga wakubwa wakitajwa kuwa ni wakulima wadogo   Katika mahojiano…

20 September 2022, 2:53 pm

Watu 900 watibiwa macho Pangani

  Zaidi ya watu 900 wamepatiwa matibabu ya macho katika Hospitai ya wilaya ya Pangani kati ya tarehe 10-15 mwezi huu. Matibabu hayo yamefanyika kufuatia kambi maalum ya matibabu iliyowekwa Hospitalini hapo. Pangani FM imezungumza na Dk. Joan Amos Kibula…