Pangani FM

Uncategorized

19 October 2022, 2:50 pm

Mpango wa Ofisi ya Umwagiliaji Pangani.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuanzisha Ofisi ya umwagiliaji wilayani Pangani ili kusaidia sekta ya kilimo wilayani humo ambayo imeonekana kuathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi huku wahanga wakubwa wakitajwa kuwa ni wakulima wadogo   Katika mahojiano…

20 September 2022, 2:53 pm

Watu 900 watibiwa macho Pangani

  Zaidi ya watu 900 wamepatiwa matibabu ya macho katika Hospitai ya wilaya ya Pangani kati ya tarehe 10-15 mwezi huu. Matibabu hayo yamefanyika kufuatia kambi maalum ya matibabu iliyowekwa Hospitalini hapo. Pangani FM imezungumza na Dk. Joan Amos Kibula…

19 August 2022, 10:22 am

Stamina ndani ya Banja Beat ya Pangani FM

Niaje, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM Leo hii tumekuletea mkali wa vina na ‘wordplay’ stamina ambaye amepia stori na Mtangazaji wetu Stephano Simanagwa katika kipindi cha Banja Beat kinachokwenda hewani Jumatatu mpaka Ijumaa saa 8 kamili mchana mpaka saa…

26 July 2022, 6:55 pm

Funguni Sekondari yapokea Milioni Mia Mbili za Mabweni.

Shule ya Sekondari Funguni iliyopo Wilayani Pangani mkoani Tanga imepokea kiasi cha pesa shilingi millioni mia mbili  kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wakike na wakiume. Akizungumza na Pangni FM katibu tawala Wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange…

30 June 2022, 11:11 am

Wakulima Pangani kupima hali ya Udongo wa Mashamba yao.

Wakulima wilayani Pangani mkoani Tanga wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima hali ya afya ya udongo katika mashamba yao ili kutambua njia bora ya kusimamia ukuaji wa mazao yao na kuongeza tija katika shughuli zao za kilimo. Hayo yamezungumza na…