Orkonerei FM

Afya

15 March 2022, 6:09 pm

Serikali yaboresha lishe kwa wananchi

Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji wa masuala ya kilimo kuwekeza nchini ili kuongeza mnyororo wa thamani wa mazao ya kilimo na kuimarisha lishe kwa wananchi na kuinua pato la Taifa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu…

13 March 2022, 9:43 pm

Serikali kuimarisha mikakati ya kukabiliana na maafa

HABARI. Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati madhubuti namna ya kujikinga na kukabiliana na maafa ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kujitokeza na kuhatarisha usalama wa raia pamoja na kuharibu miundo mbinu.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,…

9 March 2022, 5:30 pm

Ukeketaji Stop Simanjiro

na pascal sulle simanjiro manyara Mangariba katika wilaya ya simanjiro mkoa wa manyara wamekubali kuacha kazi ya ukeketaji kwa watoto wa kike ndani ya jamii na kuwashukuru mashirika yote na serikali katika kutoa elimu kuhusu madhara ya ukeketaji. Wakizungumza mbele…

9 November 2021, 10:30 am

Viongozi wa Mila na Chanjo ya UVIKO 19.

Terrat, Simanjiro 09.11.2021. Na Baraka David Ole Maika. Viongozi wa Mila kutoka Jamii ya Kimasai Mkoa wa Manyara wamewataka Wananchi wa Jamii ya Kifugaji wa Kimaasai kujitokeza kupata Chanjo ya UVIKO 19 inayotolewa bila malipo kwani chanjo hiyo ni Salama…

8 November 2021, 2:15 pm

Wafugaji na Chanjo ya UVICO 19.

08.11.2021 Na Baraka David Ole Maika. Jamii ya wafugaji wa Kimasai na Watanzania wote wametakiwa kujitokeza kupatiwa Chanjo ya UVICO 19 kwani chanjo hiyo ni salama na haina Madhara. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,…