Nuru FM

Kitaifa

28 March 2024, 9:45 pm

CAG abaini kitu mita za Tanesco

Ripoti ya CAG imebaini kuwa mita zaidi ya 100,000 kati ya mita 602,266 zilibadilishwa kabla ya kipindi cha uhai wa matumizi yake kuisha. Na Mwandishi wetu RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa…

28 March 2024, 9:40 pm

TAKUKURU, CAG waibua madudu kwenye halmashauri

Ripoti ya CAF imebaini halmashauri 10 zililipa kiasi cha Sh Bilioni 2.9  kwa kazi zilizotekelezwa bila kuwepo nyaraka zinazoonesha ukubwa wa kazi. Na mwandishi wetu WAKATI ripoti ya Takukuru ikibainisha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kughushi nyaraka za…

28 March 2024, 12:51 pm

Ng’ombe 547 wakamatwa  katika Hifadhi ya Taifa Ruaha

Wahifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Mkoani Iringa wameeleza kukaniliana na changamoto kwa wanaochunga mifugo yao hifadhini. Na Mwandishi wetu Ng’ombe 547 wamekamatwa wakichungwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kinyume cha sheria, huku wachungaji wakikimbia na kuitelekeza…

16 March 2024, 10:58 am

Mkurugenzi Mafinga Mji akabidhiwa ofisi

Watumishi Mafinga Mji wametakiwa kushirikina na Mkurugenzi mpya wa Halmashauri hiyo hasa katika ukusanyaji wa mapato. Na Hafidh Ally Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Ndugu, Ayoub Kambi amemkabidhi rasmi Ofisi Mkurugenzi wa Mji Mafinga Bi, Fidelica Myovela Hafla…

5 March 2024, 8:40 pm

Kihenzile awaita wawekezaji usafiri wa reli

Na Mwandishi wetu Wawekezaji wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika usafiri wa reli hapa nchini. Wito huo umetolewa  mkoani Mwanza na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ambaye ni Mbunge wa Mufindi Kusini wakati alipokuwa akizindua jukwaa la uwekezaji la…

29 February 2024, 9:26 pm

Rais Samia atangaza kifo cha Mwinyi

Na Mwandishi wetu. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari, 2024 saa 11:30 jioni katika hospitaliya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu. Rais wa…

27 February 2024, 9:36 pm

Serikali kudhibiti mfumko wa bei

Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mfumko wa bei nchini umeendelea kudhibitiwa ambapo kwa kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2023 ulifikia wastani wa asilimia 3.2, kiwango ambacho kipo ndani ya lengo la kati ya asilimia…

22 February 2024, 7:46 pm

PSSSF yapewa siku 100 kukamilisha ujenzi kiwanda cha ngozi

Na Mwandishi wetu KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa siku 100 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Wafanyakazi wa Umma (PSSSF)  Abdul-Razaq Badru kuhakikisha awamu ya…

20 April 2022, 9:37 am

Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Mvomero Asimamishwa Kazi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Bw.Hassan Njama ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kulingana na taarifa hii hapa chini;