Nuru FM

Kitaifa

18 April 2022, 9:06 am

Makundi Maalum Yaaswa Kushiriki Zoezi La Sensa

Makundi maalum ya Wajane, Wagane, Yatima, Wazee na Watu wasiojiweza wametakiwa kujitokeza na kuhesabiwa siku ya zoezi la Sensa ya Watu na Makazi Ili kuisaidia Serikali kupata takwimu sahihi zitakazotumika katika kupanga mipango ya maendeleo.   Rai hiyo imetolewa na…

4 April 2022, 4:51 pm

Wakamatwa kwa tuhuma za kukata vyuma Daraja la Tanzanite

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kujaribu kuharibu miundombinu ya Daraja la Tanzanite. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa…

31 March 2022, 4:55 pm

Kinana kumrithi Mangula

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM iliyokaa leo Machi 31, 2022 mkoani Dodoma imepitisha kwa kauli moja jina la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Abdulrahman Kinana kuwa Makamu mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara, baada ya aliyekuwa…

31 March 2022, 4:50 pm

Membe arudishiwa kadi ya uanachama CCM

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM kilichokitana leo Machi 31 mkoani Dodoma kimemsamehe alieyewahi kuwa waziri wa Mambo ya nje Benard Membe na kumrejeshea uanachama. Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema, msamaha…

26 March 2022, 6:57 am

IGP Sirro atoa maagizo kwa wakuu wa upelelezi mikoa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazowasilishwa na wananchi hasa kuhusiana na makosa ya uhalifu kwa njia ya mtandao unaotekelezwa na baadhi ya watu…

25 March 2022, 9:11 am

Njombe kumekucha! Maandalizi ya uzinduzi mbio za mwenge

Harakati za uzinduzi wa Mwenge unaotarajiwa kuzinduliwa April 2 mwaka huu katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe zimepamba moto ambapo zaidi ya watu 10,000 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Njombe wanatarajiwa kushiriki katika shughuli hiyo ya uzinduzi ya…

24 March 2022, 4:53 pm

Rais Samia Aagiza Nembo Ya Daraja La Tanzanite Kubadilishwa

RAIS Samia Suluhu Hassan, amezindua daraja jipya la Selender (TANZANITE), lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 na kuagiza nembo ya mwenge wa uhuru iondolewe na kuwekwa ya Tanzanite. Akizungumza katika ufunguzi huo amesema nembo ya daraja hilo…