Nuru FM

kijamii

April 23, 2025, 10:27 am

Kijana wa Butiama ang’ara AFCON 2025

Kijana Juma Mwita Sagwe afunga goli pekee dhidi ya Zambia kwenye mchezo wa AFCON 2025 Morocco. Na Kelvin Ayoub Juma Mwita Sagwe ambaye ni zao la Brazuka Sports Promotion Ltd ambao walifanya mashindano ya kuibua vipaji vya vijana mwaka 2023…

April 23, 2025, 10:26 am

Watumishi wahimizwa uwajibikaji kwa jamii

Wanajamii na watumishi washirikiane katika kutatua matatizo ya jamii Na Anold Deogratias. Watumishi wa uma ncini wametakiwa kuwajibika kwa mujibu wa mikataba na sharia za utumishi ili kutimiza malengo ya serikali ya kuwaletea wanachi maendeleo. Hayo yameelezwa na mratibu wa…

22 April 2025, 12:01 pm

Waliofariki kwa ajali ya ambulance na toyo waagwa Mafinga

Na Fredrick Siwale Mkuu Wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amewataka Wananchi kuwa waangalifu na kuzingatia usalama wao wanapoelekea kwenye shughuli za kujitafutia kipato, ikiwemo kuepuka kusafiri kwenye vyombo visivyokidhi vigezo vya usafiri salama. Dkt. Salekwa ameyasema hayo wakati…

15 April 2025, 11:50 am

SOS Tanzania kuwanufaisha kiuchumi vijana elfu 30 Iringa

Na Adelphina Kutika Katika juhudi za kuimarisha ustawi wa vijana na kuwawezesha kiuchumi na kiafya, Shirika la SOS Children’s Villages limezindua rasmi Mradi wa Uwezeshaji wa Vijana katika Hafua za Afya ya Uzazi na Uchumi Endelevu mkoani Iringa chini ya…

7 April 2025, 11:49 am

CCM wilaya ya Geita yaridhishwa na huduma kituo cha Nyarugusu

“Serikali inayo dhamira ya dhati ya kuhakikisha huduma za Afya zinakuwa bora kwa kila mwananchi” – Barnabas Mapande Na: Kale Chongela: Serikali imenunua vifaa tiba vya kisasa na kuongeza madaktari kwenye Kituo cha Afya Nyarugusu wilayani Geita kinachohudumia zaidi ya…

26 March 2025, 10:53 am

Mafinga Mji yatoa elimu ya afya na lishe kwa jamii

Na Fredrick Siwale Katika kuadhimisha siku ya Afya na Lishe, Halmashauri ya Mji Mafinga imetoa elimu ya namna ya kupambana na changamoto za lishe kwa wakazi wa Mtaa wa Mkombwe uliopo Kata ta Boma. Akizungumza katika Maadhimisho ya siku ya…

25 March 2025, 9:10 am

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya m-pox

Diwani wa wa kata ya kumunyika Bw. Seleman Kwirusha kutoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanajikinga na ugonjwa hatari wa homa ya nyami kwa kufuata taratibu za kiafya. Na. Emmanuel Kamangu Diwani wa wa kata ya kumunyika ambaye pia ni Makamu…

20 March 2025, 12:27 pm

Walimu Mufindi watakiwa kujiepusha na mikopo kausha damu

Na Fredrick Siwale Chama cha Walimu C.W.T Wilaya ya Mufindi Wametakiwa kujiepusha na mikopo umiza na kausha damu,ili kuondoa vitendo vya udhalilishaji wanavyokutana navyo mitaani kutoka kwa Wakopeshaji. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Dkt.Linda Salekwa…