Kagera Community Radio

Watumishi wahimizwa uwajibikaji kwa jamii

April 23, 2025, 10:26 am

Bw Augustine Angello akiongea na wana jamii Bukoba Vijijini.

Wanajamii na watumishi washirikiane katika kutatua matatizo ya jamii

Na Anold Deogratias.

Watumishi wa uma ncini wametakiwa kuwajibika kwa mujibu wa mikataba na sharia za utumishi ili kutimiza malengo ya serikali ya kuwaletea wanachi maendeleo.

Hayo yameelezwa na mratibu wa shirika la kadetfu bwana Augustin Angelo ambao wanatekeleza mradi wa ufuatriaji wa uwajibikaji katika harmashauri ya wilaya ya bukoba,

Angelo amesema uwajibikaji unatokana na wajibu na shirika la kadetu linatekeleza mradi huo kwa awamu ya kwanza awamu ya pili na awamu ya tatu.

Sauti ya Bw Augustine Angello akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji