Recent posts
September 29, 2025, 5:50 pm
Wamiliki nyumba za kulala wageni Muleba wahimizwa kulipa kodi
Wamiliki wa nyumba za kulala wageni wilayani Muleba wameaswa kutekeleza wajibu wao wa ulipaji kodi, pamoja na kutumia mashine za kielektroniki ili kulipa kodi sahihi kwa mamlaka ya mapato nchini TRA. Na Anold Deogratias Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA…
September 27, 2025, 4:59 pm
Wenyeviti wa vijiji Kyerwa waonywa uuzaji wa ardhi ya kijiji
Wenyeviti wa vijiji wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameonywa juu ya kujichukulia maamuzi ya kuuza ardhi ya kijiji bila kuwashiriki wananchi kupitia mikutano mikuu ya vijiji. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera Zaituni Msofe, amewataka wenyeviti wa…
September 5, 2025, 3:25 pm
Fabius aahidi kukamilika kwa miradi iliyokwama Igurwa
Kufuatia kukwama kwa baadhi ya miradi yamaendeleo kwa muda mrefu katika kata ya Igurwa wilayani Karagwe mgombea udiwani kupitia chama cha ACT Wazalendo ameahaidi kukamilika kwa miradi hiyo kwa muda mfupi endapo atachaguliwa. Na Anold Deogratias Mgombea udiwani kata ya…
September 3, 2025, 6:40 pm
TANAPA yaanza zoezi la kuwaondoa tembo karibu na makazi ya watu
Kufuatia hadha ya muda mrefu kwa baadhi ya wakazi wa wilaya za Kyerwa,Karagwe na Missenyi mkoani Kagera kuvamiwa na tembo, kuharibu mali, mazao na kusababisha vifo vya watu, mamlaka ya uhifadhi nchini (TANAPA) imeanza zoezi la kuwaondoa Tembo hao na…
September 1, 2025, 6:23 pm
DC Siima aagiza usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Wananchi na wamiliki wa maduka wilayani Bukoba mkoani Kagera wametakiwa kufanya usafi wa jumla kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na kutunza taswira nzuri ya wilaya hiyo. Na Avitus Kyaruzi Mkuu wa…
August 31, 2025, 4:26 pm
DC Nyamahanga: Wajengeni watoto wenu kukumbuka nyumbani
Wazawa wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera ambao hawaishi wilayani humo lakini wana uwezo kiuchumi wameaswa kukumbuka kwao kwa kujitolea kuchangia miradi ya maendeleo ili kukuza ustawi wa jamii ya Muleba. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Muleba mkoani…
August 28, 2025, 11:42 pm
Mgambo watakiwa kuzuia magendo na wahamiaji haramu
Askari wa jeshi la akiba (mgambo) mkoani Kagera wametakiwa kuwa malinzi wa raia na mali zao na kuwa wazalendo katika kulilinda taifa lao dhidi ya vitendo vya uhalifu. Na Anold Deogratias Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Erasto Yohana…
August 26, 2025, 6:27 pm
Kagera kuungwa katika gridi ya taifa ya umeme
Wiazara ya Nishati imesaini mikataba miwili ya mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kwa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako wilayani Ngara hadi Kyaka wilayani Missenyi utakaowezesha mkoa wa Kagera kuungwa katika gridi ya taifa ya umeme. Na…
August 23, 2025, 2:13 pm
Watakiwa kuboresha miundombinu kusaidia shughuli za uokoaji
Katika kurahisisha shughuli za uokoaji na kuzima moto, viongozi wa vijiji, vitongoji na mitaa wameshauriwa kuboresha miundombinu ya barabara katika maeneo yao. Na Anold Deogratias Viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji mkoani Kagera wametakiwa kuboresha miundombinu ya barabara za maeneo…
August 21, 2025, 2:07 am
Shilingi bilioni 45 kujenga madaraja matano Kagera
Shilingi bilioni 45 zinatarajiwa kutumika kujenga madaraja matano mkoani Kagera ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati za mvua hali inayokwamisha shughuli za usafiri na ufarishaji mkoani Kagera. Na Avitus Kyaruzi Serikali inatekeleza ujenzi wa madaraja matano ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati…
