Nuru FM

kijamii

19 March 2025, 11:34 am

Wanahabari Iringa wakumbushwa kuandika habari za malezi ya watoto

Na Joyce Buganda Waandishi wa habari mkoani Iringa wamekumbushwa kuandika ipasavyo habari zinahusu watoto ili kuchochea malezi chanya kwenye jamii. Akizungunza kwenye mdahalo wa program jumuishi ya malezi,makuzi na mandeleo ya mtoto PJT  MMMAM Mwenyekiti wa Club ya Waandishi wa…

12 March 2025, 12:41 pm

Tuimarishe usafi kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg

Wananchi wametakiwa kuimarisha usafi na kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg katika maeneo yao. Na Abdunuru Shafii Wakazi wa mtaa wa Mjimwema kata ya Nguruka halmashauri ya wilaya Uvinza wameeleza namna wanavyojikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa…

8 March 2025, 9:58 PM

Wanawake wakristo Masasi wafanya maombi kuliombea taifa

ni katika maandamano ya pamoja Wanawake wilayani Masasi mkoani Mtwara wameadhimisha Siku ya Maombi ya wanawake katika kuombea taifa na mambo mbalimbali. Katika maandamano hayo yaliyohusisha na mabango yenye jumbe inayosomeka (Nimeumbwa kwa namna ya ajabu) yenye lengo la kumfanya…

5 March 2025, 10:15 am

Wanawake Iringa washauriwa kuacha mikopo ya kausha damu

Na Adelphina Kutika Wanawake Mkoani Iringa  wametakiwa kuacha kukopa mikopo ya kausha damu na badala yake wakope mikopo inayotambulika na Serikali ikiwemo taasisi za fedha ili kupunguza vifo kwa vijana. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Vyombo…

5 March 2025, 12:00 am

Walaji wa wanyama wa mwituni hatarini kupata marburg

Ameseama jamii inapaswa kuchukua tahadhari kwa kuepuka kugusa au kula nyama ya popo, au nyama ya mnyama wa mwituni akiwemo nyani. Na Theresia Damasi Wananchi wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma na maeneo ya jirani wameshauriwa kuchukua tahadhari juu ya…

4 March 2025, 7:04 pm

Wadhibiti ubora wa shule Tanganyika waweka wazi majukumu yao

“Wadhibiti ubora wa shule wa ndani na wa nje wanahakikisha shughuli za shule zinafanyika kwa ukamilifu “ Kupitia kipindi hiki utasikia namna wathibiti ubora wilayani Tanganyika wanavyofanya kazi na kuhakikisha elimu bora inaendelea kutolewa kwa kuzingatia uwepo wa miundombinu rafiki…