Mpanda FM
Mpanda FM
6 February 2026, 3:19 pm
SACP Kaster Ngonyani kamanda wa polisi Katavi. Picha na Anna Mhina “Tumefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa makosa mbalimbali” Na Anna Mhina Jeshi la polisi mkoa wa Katavi limeendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa raia na mali zao kwa kufanya operasheni,…
February 3, 2026, 9:32 am
”Kwa mwaka 2025, mahakama za mwanzo za wilaya ya Kahama zimefanikiwa kumaliza kesi zote na kuvuka kesi” Mahakama za mwanzo wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa mwaka 2025 zimefanikiwa kumaliza kesi zote kwa mwaka huo na kuvuka na kesi 0. Hayo…
8 January 2026, 1:06 pm
Na Nyangusi Olesang’ida Viongozi wa dini mkoani Arusha wameibua hofu juu ya mmomonyoko wa maadili na kupoteza sifa za kiroho kwa watumishi wa Mungu wanaojiingiza kwenye tamaduni za tohara za kienyeji ambazo zinakinzana na misingi ya kanisa. Askofu Dr. Joel…
23/12/2025, 16:58
Ulemavu si jambo la hiari, na kwamba mtu yeyote anaweza kuwa mlemavu wakati wowote katika maisha yake. Na Msafiri Kipila Watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii na wana mchango mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Licha ya…
04/12/2025, 17:41
Ikiwa leo ni Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani, siku hii imeambatana na mabadiliko ya tabianchi na uwepo wa mabadiliko hayo kuna athari kwa watu wenye ulemavu. Na Grace Hamisi Shirika lisilo la kiserikali Sports Development Aids (SDA) kupitia mradi…
27/11/2025, 18:01
Akiwa ni mtu mwenye ulemavu wa viungo, amejitolea kuitumia taaluma yake kuibua na kusimulia hadithi za jamii, hususan za watu wasiojiweza na watu wenye ulemavu. Na Msafiri Kipila Katika jamii inayozingatia usawa wa haki na fursa, ni muhimu kila mwananchi…
27/11/2025, 06:58
Mbolea ya ruzuku inauzwa kwa bei tofauti na bei elekezi ya serikali Na Stephano Simbeye Meneja wa Mamlaka ya Mbolea Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Joshua Ng’ondya amesema mbolea hiyo imekutwa ikiuzwa katika duka la wakala aitwaye Hemed…
28 October 2025, 11:55 am
Jiepusheni na magroup songozi ya mitandaoni ili msije mkakosea na kutuma huko taarifa pia Jiepusheni na ushabiki wa vyama vya Siasa msije mkaleta tahaluki kwani nyie mnafanya kazi kwa niaba ya Tume huru ya Taifaya Uchaguzi ”Julius Ikongora John “…
15/10/2025, 18:56
Wanasalamu Kanda ya Kusini kwa kushirikiana na Jamii FM wametoa msaada wa godoro na vifaa vya shule kwa Mzee Salumu Somba, mlemavu wa macho na mkazi wa Mnyengedi, baada ya kuguswa na hali yake kupitia kipindi cha Sikika. Wametoa wito…
09/10/2025, 21:49
Viongozi wa Kata ya Mkunwa wametoa msaada wa godoro, sabuni na taa kwa familia ya Mzee Salumu Somba ili kusaidia kupunguza changamoto za maisha zinazoikabili familia hiyo. Na Musa Mtepa Viongozi na watendaji wa vijiji katika Kata ya Mkunwa wametoa…