Mpanda FM

MAENDELEO

9 October 2024, 11:40

Wazazi waaswa kulea watoto katika maadili mema

Wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Rev. A. Bungwa iliyopo halmashauri ya mji wa kasulu wametakiwa kuwa na maadili mema kwenye jamii na kufuata misingi waliyofundishwa kwa kipindi chote walichokuwepo shuleni kwa manufaa yao ya…

8 October 2024, 09:54

Madaktari bingwa waweka kambi ya matibabu Kigoma

Baadhi ya wananchi wa  Mnispaa ya Kigoma Ujiji wamepengeza hatua ya ujio wa madaktari bingwa wa Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwa itasaidia kupata huduma za kibingwa na kuokoa gharama ambazo wangetumia kwenda kutafuta matibabu nje ya mko wa Kigoma.…

7 October 2024, 4:51 pm

Diwani Viti Maalum akagua miradi ya maendeleo Wilaya ya Kati

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii Baraza la Mji Kati ambaye pia ni Diwani wa viti maalum Riziki Muhammed Abdalla amewataka Wanajamii kushirikiana pamoja kuitunza na kuimarisha Miradi ya maendeleo inayojengwa katika maeneo yao ili iweze kudumu. Riziki ameyasema…

2 October 2024, 17:41

Wazee walia na shutuma za ushirikina Kigoma

Serikali mkoani Kigoma imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali na mashirika ili kuhakikisha wazee wanasaidiwa na kupata mahitaji yao muhimu ikiwemo kuchukua hatua za kuboresha maisha yao. Na Kadislaus Ezekiel – Kibondo Wazee mkoani Kigoma, wameiomba serikali kuingilia kati unyanyasaji…

2 October 2024, 10:15 am

Kikobweni yakabiliwa na changamoto mbalimbali

Picha ya Mbunge wa Jimbo la Donge Juma Usonge (aliyevaa koti jeusi na kofia) akiwa katika mkutano wa kusikiliza kero za wananchi wa shehia ya Kikobweni. Na Latifa Ali. “Viongozi wanapaswa kuwa mstari wa mbele kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wao…

2 October 2024, 09:10

Madiwani Kasulu mji wachagua makamu mwenyekiti

Madiwani katika halmshauri ya mji wa Kasulu Mkoani kigoma wamesema kuwa wataendelea kumuunga mkono makamu mwenyekiti aliyechaguliwa kwa mara ya nne ili kuahkikisha wanatekeleza na kusimamia shughuli za maendeleo ndani ya wilaya hiyo. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Baraza la…

26 September 2024, 3:45 pm

Bodi ya Mkonge kuboresha maisha ya wajasirimali Pemba

Na Mary Julius Mratibu wa Mradi wa Mkonge na Bidhaa Zitokanazo na Mkonge Zanzibar Joseph Andrew Gasper amesema Bodi ya Mkonge Tanzania  ina malengo ya kushirikiana na wajasirimali wa kisiwani Pemba ili kuona wajasiriamali wananufaika na fursa zitokanazo na mkonge.…