Mpanda FM

MAENDELEO

18 September 2025, 12:23 pm

Wananchi watakiwa kutumia bidhaa za ndani

Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…

16 September 2025, 6:02 pm

Skauti mashuleni, njia ya kukuza uzalendo kwa vijana

Na wilaya ya Kati. Mkuu wa wilaya ya kati Rajab Ali Rajab, amewataka walimu katika Wilaya ya hiyo kuanzisha vyama vya Skauti katika skuli zao ili kuwajenga wanafunzi kuwa wazalendo, wenye maadili na kuwasaidia kuwa raia wema wa baadaye. Akizungumza…

13 September 2025, 9:04 am

TRA Iringa yazindua dawati la uwezeshaji biashara

Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na…

11 September 2025, 6:05 pm

Hai waombwa kujitokeza kumpokea Dkt. Nchimbi

Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kuhutubia wananchi wa Hai, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Hai Muhamed Msalu ameomba wananchi kujitokeza kwa wingi. Na Elizabeth Noel & Henry keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameombwa kujitokeza kwa…

9 September 2025, 11:47 am

Simulizi ya aliyeolewa akiwa na umri mdogo

“Nilienda kwa ndugu zangu, majirani wao wakaona ni kitu cha kawaida sana….yaani naumia, naumia nikikaa ndani ndio hivyo naliaa najiona kabisa maisha yangu yamefika mwisho, ndoto yangu ilikuwa niwe daktari”

8 September 2025, 2:49 pm

Vijana washauriwa kuwa na maarifa kujiinua kiuchumi Katavi

“wako tayari kufanya kazi ya kilimo na ufugaji ili waweze kujiinua kiuchumi “ Na Anna Milanzi-Katavi Vijana manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kuhakikisha wanakuwa na maarifa ili waweze kutunza fedha na kujikwamua kiuchumi.Hayo yamejiri katika muendelezo wa mijadala ya…

20 August 2025, 11:25 pm

Ofisi ya GIZ yazinduliwa Katavi

“ofisi hiyo itatumika na wadau mbalimbali katika kutekeleza mradi unaolenga kutatua changamoto mbalimbali hasa za uhifadhi wa maji“ Na Anna Milanzi -KataviShirika lisilo la kiserikali  kutoka nchini Ujerumani GIZ limezindua ofisi yake katika jengo la Mpanda Plaza manispaa ya Mpanda…

20 August 2025, 4:16 pm

SMZ yadhamiria jamii jumuishi kupitia mradi wa CADiR

Mradi wa CADIR ni wa miaka mitano, kuanzia mwaka 2025 hadi 2029, na unafadhiliwa na Umoja wa Watu Wenye Ulemavu wa Norway (NAD), ukiwa na thamani ya Shilingi Bilioni 20 za Kitanzania. Mradi huu utatekelezwa katika mikoa mbalimbali ya Tanzania…