Mpanda FM

MAENDELEO

16 April 2025, 5:31 pm

Soko la Mwanakwerekwe lavamiwa na wizi wa honda

Na Mary Julius. Wafanyabiashara wa Soko la Mwanakwerekwe wameiomba Serikali kumsimamia muwekezaji wa Soko hilo kuimarisha ulinzi na Usalama wa vyombo vyao katika maeneo ya maegesho ili kuweza kufanya biashara bila ya kuwa wa wasiwasi wa usalama wa vyombo vyao.Wakizungumza…

16 April 2025, 11:04 am

Bei ya mchele chanzo cha ubwabwa kuuzwa gharama kubwa Iringa

Na Geaz Mkata na Rogasia Kipangula Wafanyabiashara wa Mchele Manispaa ya Iringa wamesema kuwa Bei ya Mchele imepanda kuanzia shilingi 2000 mpaka shilingi 3200 kwa kilo moja. Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wafanyabiashara wa bidhaa hiyo wamesema kuwa bei…

15 April 2025, 11:50 am

SOS Tanzania kuwanufaisha kiuchumi vijana elfu 30 Iringa

Na Adelphina Kutika Katika juhudi za kuimarisha ustawi wa vijana na kuwawezesha kiuchumi na kiafya, Shirika la SOS Children’s Villages limezindua rasmi Mradi wa Uwezeshaji wa Vijana katika Hafua za Afya ya Uzazi na Uchumi Endelevu mkoani Iringa chini ya…

10 April 2025, 3:16 pm

Wafugaji, wakulima watakiwa kutunza mazingira

“Maeneo mengi ya vyanzo vya maji katika bonde hilo bado yanakabiliwa na kitisho cha uharibu wa mazingira “ Na Restuta Nyondo -Katavi Matumizi ya mawasiliano jumuishi kwa jamii imetajwa kuwa mbinu muhimu zaidi ya kutumia usimamizi wa sheria pekee katika…

8 April 2025, 20:09

Auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za wizi Mbeya

Vijana wengi wamekua wakipoteza maisha kutokana na kujihusianisha na vitendo vya kihalifu ambavyo wamekuwa wakifanya kwa kizingizio cha ukosefu wa ajira. Na Hobokela Lwinga Mkazi mmoja wa Iganzo, Vincent Jafari (21), amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye…

8 April 2025, 8:22 am

Bei ya viazi mviringo Iringa yapaa mwezi April

Na Editha Maximillan na Israel Nchimbi Wafanyabiashara wa zao la Viazi Mviringo katika Soko Kuu Manispaa ya Iringa wamesema kuwa bei ya zao hilo imepanda ikilinganishwa na ilivyokuwa katika mwezi wa Ramadhan. Wakizungumza na Nuru Fm baadhi ya Wafanyabiashara wa…

7 April 2025, 17:01

Bilioni 2 zatumika ujenzi kituo cha afya Makere Kasulu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Kazi Maalum, Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwa katika ujenzi wa mradi wa kituo cha afya Makere ameeleza kuwa dhima ya serikali ni kuhakikisha wanaimarisha huduma za afya. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa…