Mpanda FM
Mpanda FM
16 March 2026, 7:13 am
“Twendeni kliniki mara kwa mara kwenye vituo vyetu vya afya wakinamama wajawazito ili kujuwa hali zenu za mimba na namna ya kuwasaidia wakati wa kujifungua ili kupunguza changamoto zinazoweza kutokea wakati wa kujifungua.” Na Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya…
12/03/2026, 19:41
Na Mary Julius. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Juma Malik Akil ameipongeza NCBA Bank kwa mchango wake mkubwa katika kukuza sekta ya fedha na kuchochea maendeleo ya uchumi wa visiwa vya Zanzibar. Akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na…
12 March 2026, 12:14 pm
“Kitendo cha kuwekwa kwa makufuli katika milango ya biashara zetu hatukubaliani nacho” Na Fredrick siwale Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mafinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamelalamikia hatua ya baadhi ya maafisa wa halmashauri hiyo kufunga milango…
6 March 2026, 8:50 am
Na Elika Matonya na Telesia Chalamila Wafanyabiashara wa soko kuu Mkoani Iringa wameeleza hali halisi ya biashara na aina ya bidhaa zinazouzika katika msimu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kwaresma. Wakizungumza na Nuru FM Baadhi ya Wafanyabiashara…
04/03/2026, 18:07
Na Mary Julius. Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Nadir Abdullatif Alwardy amesema Serikali inaendelea kuimarisha huduma za maji, umeme na nishati kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa Unguja na Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari…
4 March 2026, 5:32 pm
“Ameahidi kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika katika kuhakikisha chama kinaimarika.“ Na Samwel Mbugi-Katavi Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Haidary Hemed Sumry amekutana na baraza la umoja wa vijana CCM wilaya ya Mpanda kuwashukuru kutokana na namna wanavyoshiriki kuhakikisha chama…
25/02/2026, 16:05
Na Berema Suleiman. Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar imesema jumla ya mienendo ya vyombo vya baharini kwa mwezi wa Januari 2026 imefikia 1,211, ikiwa ni upungufu wa asilimia 35.6 ikilinganishwa na mienendo 1,879 iliyorekodiwa mwezi Januari 2025. Akiwasilisha…
20 February 2026, 6:16 pm
“walikuwa wakikumbana na changamoto katika shughuli za kilimo, ikiwemo ukosefu wa maji ya uhakika kwa ajili ya umwagiliaji” Na Ben Gadau – Katavi Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mwamkulu wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa skimu ya umwagiliaji, wakisema…
20 February 2026, 5:44 pm
“ameomba kuharakishwa kukamilika kwa ujenzi wa madarasa hayo ili kurahisisha upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi wa eneo hilo.“ Na Ben Gadau- Katavi Diwani wa Kata ya Ibindi Mdakuni Matongo ametembelea na kukagua ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi muungano…
13/02/2026, 21:07
Na Berema Nassor. Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu Zanzibar,Mudrik Ramadhan Soraga, amesema uanzishwaji na utekelezaji wa mfumo wa anuani za makaazi ni hatua ya kimkakati inayolenga kurahisisha utambuzi wa makaazi, biashara na taasisi, sambamba na kuboresha upatikanaji…