Mpanda FM

ELIMU

22 September 2025, 2:01 pm

Mwenge wa Uhuru 2025 Kugusa Miradi ya Bilioni 2.4 Uvinza

‎Mwenge wa Uhuru utakimbizwa ndani ya wilaya kwa umbali wa kilomita 131 Na Abdunuru Shafii Jumla ya miradi 7 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.4 inayojumuisha sekta za elimu, afya, Maji na nishati inatarajiwa kukaguliwa, kutembelewa na mingine…

18 September 2025, 12:23 pm

Wananchi watakiwa kutumia bidhaa za ndani

Kutumia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini itapelekea kukuza uchumi Na Adelphina Kutika Wananchi mkoani Iringa wametakiwa kutumia bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani, ili kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa…

18 September 2025, 10:33 am

Mbukwa: Wamehitimu elimu ya msingi hawajamaliza shule

“Hawa watoto ni wanafunzi ambao wapo likizo kusubiri matokeo yao” Na Anna Mhina Wazazi na walezi wametakiwa kuacha tabia ya kuwatumia watoto kama mtaji pindi wanapohitimu elimu yao ya msingi na badala yake wawaache wafikie ndoto zao. Hayo yamesemwa na  …

September 17, 2025, 11:05 am

DC Nyasa: Mgombea urais CCM apokelewe kwa ‘vibe’

kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Nyasa Mh perres Magili Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mh. Perresi  Magiri amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya mgombea nafasi ya Urais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgombea mwenza…

14 September 2025, 8:59 am

Manyara kudhibiti ukondefu

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka maafisa lishe kukomesha tatizo la ukondefu mkali na utapiamlo Kwa kuifikia jamii na kutoa elimu Ili kudhibiti tatizo Hilo. Na Mzidalfa Zaid Sendiga ametoa kauli hiyo Leo katika kikao Cha tathimini ya…

13 September 2025, 9:04 am

TRA Iringa yazindua dawati la uwezeshaji biashara

Dawati hilo lina lengo la kuboresha uhusiano kati ya TRA na wafanyabiashara. Na Adelphina Kutika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imezindua Dawati Maalumu la Uwezeshaji Biashara, hatua inayolenga kuboresha mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sambamba na…

September 11, 2025, 4:47 pm

Watoto wanaookota vyuma chakavu watuhumiwa kwa uhalifu

Ni ya utoro, wizi na uharibifu Na Asteria Kibiki Watoto wanaojihusisha na vitendo vya kuokota vyuma chakavu katika kata ya Ichenjezya, wilayani Mbozi mkoani Songwe wanatuhumiwa kuongoza kwa utoro shuleni na kujifunza tabia za wizi na uharibifu. Pamoja na kutoroka…

11 September 2025, 9:53 am

George akutwa amejinyonga Iringa

Changamoto ya watu kujiua inapaswa kufanyiwa uchunguzi na kutatuliwa ili kupunguza vifo katika jamii. Na Godgrey Mengele Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la George Severin Manga mkazi wa Kitongoji cha Kihesa katika Kijiji cha Ilambilole amekutwa amejinyonga kwa kile kinachodhaniwa…