Mpanda FM

ELIMU

December 6, 2025, 9:47 am

Jamii yaaswa kuzingatia lishe kwa watoto

”Wazazi wapaswa kuzingatia makundi yote ya ya vyakula wakati wa kumwandalia mtoto unga lishe unakuta mzazi ameandaa mahindi, mchele, ulezi, na ngano bila kujua kuwa hicho alichokiandaa ni kundi moja la chakula ambalo ni wanga” Afisa lishe Halmashauri ya mji…

5 December 2025, 1:12 pm

Watoto 15 wahitimu awali the Orbit

Kituo cha The Orbiti Day Care chafanya mahafali ya tatu; wazazi watakiwa kushiriki kikamilifu na kuboresha mazingira ya elimu kwa watoto. Na; Isidory Mtunda Kituo cha kulea watoto The Orbit Day Care, kilichopo kitongoji cha Uwanja wa Ndege, kata ya…

2 December 2025, 10:38 am

Dola mil. 20 kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na Joyce Buganda Tanzania inatarajiwa kunufaika na fedha hadi dola million 20 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia mfuko wa kukabiliana na hasara na uharibifu. Nuru FM imekuandalia makala hii maalum…

28 November 2025, 10:12 pm

Mwabulambo awataka wananchi kushiriki zoezi la usafi

Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kushiriki zoezi la usafi katika maeneo yanayowazunguka kama ulivyo utaratibu wa kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi hapa nchini. Na Mzidalfa Zaid Afisa afya mkoa wa Manyara Suten Mwabulambo, amesema halmashauri zote mkoani humo…

November 27, 2025, 6:01 pm

Janga kupungua kwa punda lashamiri nchini

Janga la kupungua kwa mnyama kazi punda limezidi kuongezeka nchini Tanzania, huku ikikadiriwa kuwa takribani punda 150 wanavushwa na kuchinjwa kila mwezi kinyume na taratibu, na kuuzwa katika maeneo mbalimbali nje ya nchi. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa kwa wadau…

25 November 2025, 1:19 pm

Upi umuhimu wa chanjo za awali kwa mtoto?

Hata hivyo chanjo ni ngao ya kwanza ya afya ya mtoto na ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Serikali ya kulinda maisha ya wananchi wake. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa mtoto anapozaliwa kinga yake ya mwili huwa ni ndogo sana,…

24 November 2025, 10:04 pm

Wakulima Iringa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Wananchi wanakumbushwa kudumisha uhifadhi wa mazingira huku wakichukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Na Joyce Buganda Nuru FM imekuandalia makala fupi kuhusu mkakati wa serikali mkoani Iringa wenye lengo la kuwaunganisha wananchi katika mifumo na miradi…

November 19, 2025, 12:26 pm

Ileje wajipanga kukabiliana na udumavu

Na Denis Sinkonde, Ileje Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa wito kwa kina baba kushiriki kikamilifu katika masuala ya lishe ili kuhakikisha familia zinakuwa na afya bora na kupunguza udumavu kwa watoto. Mgomi ametoa wito huo umetolewa Novemba…