ELIMU
9 January 2025, 4:30 pm
Wananchi  Babati walalamika taka kutokuzolewa kwa wakati
Wafanyabiashara katika eneo la Machinga complex lililopo mjini Babati mkoani Manyara wameiomba serikali ya halmashauri ya mji wa Babati kuondoa taka zilizojaa katika kizimba cha kuhifadhi taka Na George Agustino Wafanyabiashara katika eneo la Machinga complex lililopo mjini Babati mkoani…
8 January 2025, 8:43 pm
Kamati ya kudumu ya bunge haijaridhishwa na kasi ya ujenzi sekondari Katavi boys
“changamoto ambazo zinapelekea mradi huo kuchelewa kukamilika ikiwemo upatikanaji wa wadhabuni kwa vifaa“ Na John Benjamin -Katavi Kamati ya kudumu ya bunge ya tawala za mikoa na serikali za mitaa Tamisemi haijaridhishwa na kasi ya ujenzi wa shule ya sekondari…
24 December 2024, 9:50 pm
Prof. Lyaya atoa msaada kwa wagonjwa Mwanza
Katika kuelekea sikukuu za mwisho wa Mwaka watu mbalimbali hujitolea misaada kwa wahitaji kama sehemu ya ibaada na kumbukumbu kwa jamii inayo wazunguka. Na;Elisha Magege Jamii imetakiwa kujitoa na kusaidia wenye uhitaji wakiwemo wagonjwa, wafungwa na wenye mahitaji maalumu hasa…
24 December 2024, 1:03 pm
Katavi:BoT yatoa elimu ya utunzaji wa sarafu kwa wenye ulemavu
“wamenufaika na Elimu hiyo kwa kuzitambua alama za sarafu na usalama wake“ Na Edda Enock -Katavi Benki kuu ya Tanzania imetoa Elimu ya utunzaji wa sarafu na kutambua alama za usalama kwenye sarafu kwa watu wenye changamoto ya kusikia [viziwi]…
24 December 2024, 12:35 pm
RC Katavi awataka wazazi kuwapeleka shule watoto waliofaulu kujiunga kidato cha…
“wanafunzi wote waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu watajiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwakuwa tayari vyumba vya madarasa vimekamilika“ Na Ben Gadau-Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawapeleka…
16 December 2024, 8:51 pm
Afariki kwa kushindwa kulipa 150,000 ya matibabu baada ya kung’atwa na nyoka …
Juliana Obed mwenye umri wa miaka 44 mkazi wa kitongoji cha majengo kijiji cha magugu wilayani Babati Mkoani Manyara amefariki kwa kung’atwa nyoka baada ya kushindwa kulipa kiasi cha shillingi la 150,000 kwaajili ya matibabu aliyotakiwa kulipa katika kituo cha…
20 November 2024, 2:19 pm
Watumishi saba wa idara ya Afya kukatwa asilimia 15 ya mshahara wao
Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya kibondo wamefanya kikao cha utekelezaji wa shughuli za maendeleo za kata na kulidhia kuwakata asilimia 15 ya mshahara watumishi saba wa idara ya afya Na Emmanuel Kamangu Baraza la madiwani katika halmashauri ya…
19 November 2024, 4:33 pm
‘Dago’ zarejesha nyuma maendeleo ya wanawake, watoto Micheweni
Dago ni kambi ya wavuvi ambayo wanatoka sehemu moja kwenda nyingine kwa ajili ya kutafuta riziki kwa kukaa zaidi za wiki moja na kuendelea. Na Tme Khamis Katika visiwa vya Zanzibar jamii kubwa inajishughulisha na shughuli ya uvuvi ambapo wakati…
18 November 2024, 9:00 pm
Manyara kuanzisha kliniki ya madaktari bingwa
Mkoa wa Manyara unatarajia kuzindua zoezi la utoaji Huduma za kliniki maalamu za Madaktari Bingwa wa Ndani ya Mkoa Wa Manyara Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema mkoa wa Manyara umeanzisha kliniki ya kwanza ya…
6 November 2024, 12:59 PM
Tuwahamasishe kujitoa kupiga kura kama walivyojiandikisha ifikapo Nov 27, 2024
Na.Lilian Martin Mkuu wa Wilaya ya Masasi mhe.Lauter Kanoni amewaomba Waheshimiwa Madiwani kuendelea kuwahamasisha Wananchi wajitokeze kupiga kura ifikapo Nov 27, 2024 ili kuwachagua viongozi muhimu wa Serikali za Mitaa wanaowataka. Mhe.kanoni amesema kuwa katika zoezi la uandikishaji kwa Halmashauri…