Mkoani FM

Uncategorised

27 September 2023, 11:15 pm

Wanawake someni sayansi mkaongoze meli Pemba

Kutokana kwa uwepo wa wanawake wachache kwenye sekta ya bahari hasa kuwa mabaharia ndio asasi mbali mbali kuungana kuhamasisha maskuli ili wasome masomo ya sayansi wawepo kwenye sekta hiyo. Na Fatma Rashid Wanafunzi kisiwani Pemba wametakiwa kizingatia masomo ya sayansi…

8 September 2023, 12:56 pm

Kamati za kupinga ukatili Zanzibar zatoa neno kupunguza talaka

Visiwani Zanziabar kumekuwa na engezeko la talaka kila siku hali hiyo ndio imepelekea  kamati maalum ya kupinga  vitendo vya udhalilishaji  Zanzibar kutoa ushauri kwa serikali kwa kutoa elimu hiyo skuli na madrsa. Na Mwandishi wetu. Kamati za kupinga vitendo vya…

3 December 2022, 12:47 pm

Wananchi washauriwa kuunga mkono bishaa za wajasiliamali wa ndani

Wananchi kisiwani pemba wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanawake ili kuunga mkono juhudi za kujikwamua na umasikini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Habiba Khamis Mohd mjasiriamali na muuzaji wa unga wa lishe wa Hopeca amesema imefika wakati sasa…

21 September 2022, 12:25 pm

Wahamasishaji Jamii pemba watakiwa kuitunza miradi

PEMBA. Wahamasishaji jamii kisiwani Pemba wametakiwa kuongeza juhudi za kutoa uwelewa kwa jamii ili kuienzi na kuitunza miradi wanayoanzishiwa kwa lengo la kuleta maendeleo endelevu kwa vizazi na vizazi. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa mradi wa swil kutoka taasisi…

28 August 2022, 2:45 pm

Wananchi Pemba wanatakiwakuandika urithi ili kuepuka migogoro

  Wananchi kisiswani Pemba wameshauriwa kuzingatia suala la mirathi mara tu baada ya mzazi kufariki ilikuepusha migogoro isiyo ya lazima katika familiya. Kauli hizo zimetolewa na  zulekha suleimn sheha na Sharifa Shaban Hamad wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi…