Uncategorised
22 August 2022, 4:52 pm
Kesi 39 za udhalilishaji zaibuliwa ndani ya robo mwaka Wete – Mkoani
JUMLA ya kesi 39 za udhalilishaji wa kijinsiazimeibuliwana wanamtandaowa kupinga udhalilishaji ndani ya wilaya mbili kisiwani pemba. Wakizungumza katika kikao cha kuwasilisharipoti hizo wanamtandao wa kupinga udhalilishaji wilaya ya wete na wilaya ya mkoani wamesema juhudi za pamoja kati ya…
21 August 2022, 2:43 pm
Mbunge viti maalumu Pemba aomba watu wenye ulemavu wahesabiwe
. Wananchi Kisiwani Pemba wametakiwa kutowaficha watu wenye ulemavu wakati wa zoenzi la sensa litakapoanza siku ya tarehe 23/08/2022 kwani nao wana haki kama binaadamu wengine. Kauli hiyo imetolewa na Mh Marya Azani mwinyi Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa…
20 August 2022, 10:44 am
IUCN kupitia ubalozi wa Ireland Tanzania yang’arisha vikundi vya wajasilia…
Wanavikundi cha Uvumbuzi Pujini Kibaridi,Mapape Cooperative Chambani na Yataka Moyo Chokocho wamelishukuru Shirika la IUCN kupitia mradi unaofadhiliwa na Ubalozi wa Ireland Tanzania kwa kuwasadia kwa hali na mali katika kuboresha vikundi vyao. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti fupi…
12 August 2022, 11:38 am
Mwenyekiti wa kamati ya abaraza la wawakilishi ya kusimamia ofisi za viongoziwak…
ZANZIBAR Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya kusimamia Ofisi za viongozi wakuu wa kitaifa Mhe Machano Othman Said amewataka watendaji wa mazingira kuhakikisha kuwa sheria za mazingira zinafuatwa katika kuwalinda wanavikundi wanaojihusisha na utunzaji wa mazingira. Akizungumza…
12 August 2022, 8:40 am
Watu wenye ulemavu pemba walia na kitengo cha elimu ya afya
PEMBA Ufikiwaji mdogo wa watu wenye ulemavu katika utoaji wa elimu ya chanjo ya uviko 19 ni changamoto moja wapo inayopelekea ushiriki mdogo kwa kundi hilo. wakizungumza na mkoani fm mariam khamis hamadi na nasra hakim hassani wenye ulemavu wa…
26 July 2022, 2:01 pm
Wakulima wilaya ya Mkoani waomba wafikiwe na maafisa wa utabiri wa hali ya hewa
Wakulima wa kilimo cha mpunga bonde la kimbuni shehiya ya mgagadu wilaya ya mkoani kisiwani pemba wameiomba Radio Jamii Mkoani kuendeleza mashirikiano na wataalamu wa masuala ya kilimo kwa lengo la kuwasaidia wakulima kuongeza ujuzi katika masuala ya kilimo.…
25 July 2022, 9:35 am
Wahudumu wa afya wa kujitolea Pemba kuongeza uhamasishaji wa chanjo ya Uviko-19
WAHUDUMU WA AFYA WA KUJITOLEA PEMBA KUONGEZA UHAMASISHAJI WA CHANJO YA CORONA Wahudumu wa afya wa kujitolea(CHV) kisiwani pemba wametakiwa kuendelea kuhamasisha jamii kujitokeza kuchanja chanjo ya corona ili kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya UVIKO 19. Kauli hiyo…
23 October 2021, 1:08 pm
Wananchi Kisiwa Panza walia na Maji safi na salama.
Na Said Omar Said Wananchi wa shehia ya kisiwa panza wilaya ya Mkoani Pemba wamelalamika ukosefu wa maji safi na salama katika shehia hiyo. Wakizungumza katika mkutano wa kueleza changamoto zao mbele ya mkuu wa Wilaya ya Mkoani katika kisiwa…