Keifo FM

siasa

11 October 2025, 6:37 pm

Wanawake Geita wajipanga kumpokea Dkt Samia

Ujio wa Dkt. Samia unaleta ari mpya ya kisiasa na ni fursa ya kumpongeza kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo nchini. Na Mrisho Sadick: Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Geita na Wananchi…

2 October 2025, 2:52 pm

Mchango wa viongozi wa dini kuwainua wanawake kiuongozi

Karibu usikilize makala inayozungumzia mchango wa viongozi wa dini katika kuwainua wanawake kuwania nafasi za uongozi ambapo makala hii imezungumza na viongozi wa dini na viongozi wa dini wanawake . Makala hii imendaliwa na Hawa Rashid na Mzidalfa Zaid

1 October 2025, 4:10 pm

Maadhimisho ya Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani

Na Dorcas Charles Kila Septemba 28, dunia huadhimisha Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani ili kutoa elimu juu ya madhara ya ugonjwa huu na namna unavyoweza kuzuilika. Afisa Mifugo wa Kata ya Terrat, Petro Mejooli Lukumay, amesema chanjo ya mbwa…

1 October 2025, 1:03 pm

Njia salama za uzazi wa mpango zinavyowasadia wanawake

Karibu msikiliza usikilize makala inayozungumzia matumizi sahihi ya uzazi wa mpango, Makala yetu imezungumza na mwanamke anaetumia uzazi wa mpango, mwanamke asietumia uzazi wa mpango, mwanamume anaempa ushirikiano mke wake kutumia uzazi wa mpango na wataalam wa afya . Na…

1 October 2025, 11:40 am

Mahwa: Jimbo la Kigoma Kusini sio shamba la bibi

“Nitahakikisha  naishauri serikali kurekebisha sheria na sera rafiki za uwekezaji ili vijana wanaosoma wapate ajira rasmi.” Eliya Mahwa Na. Theresia Damasi Mgombea wa ubunge jimbo la Kigoma Kusini  kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA BW. Eliya Mahwa…

30 September 2025, 3:18 pm

Daniel Samson: Thibitisha habari kabla ya kuzisambaza

Waandishi wa habari na jamii kwa ujumla wanalo jukumu kubwa la kuhakikisha taarifa wanazopokea au kuzitumia, zinakuwa sahihi na zimethibitishwa ili kuepuka kuchochea taharuki, chuki au migawanyiko isiyo ya lazima.  Na Asha Madohola Katika kipindi maalumu kilichorushwa na Redio Jamii…

16 September 2025, 11:10 am

UDP yaahidi kusimamia rasilimali za nchi

Vyama mbalimbali vya siasa nchini vimeendelea na kampeni ikiwa ni njia ya kunadi sera na mipango yao kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Na: Edga Rwenduru Chama cha United Democratic Party (UDP) kimewaahidi watanzania kusimamia rasilimali za nchi  kwa…

16 September 2025, 7:39 am

Dkt. Jafari Rajabu aahidi maendeleo kwa wananchi Busanda

Mgombea ubunge wa Jimbo la Busanda, wilaya ya Geita kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jafari Rajabu Seif, amezindua rasmi kampeni zake Septemba 15, 2025 kwa kuahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Na: Ester Mabula Akizungumza wakati wa uzinduzi…