Keifo FM

Uncategorised

3 June 2024, 16:14

Kyela:Miti 150,0000,kupandwa Kyela

Katika kukabiliana na janga la mafuriko ambalo limekuwa likiisumbua wilaya ya Kyela mara kwa mara serikali imekusudia kupanda miti milioni moja na laki tano. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya mvua kubwa kuikumba wilaya ya Kyela serikali imekusudia kupanda…

10 May 2024, 18:21

Waziri Mkuu ziarani Kyela

“Tupo tayari kumpokea waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili aje aone namna fedha za zinazotolewa na raisi samia jinsi zinavyofanya kazi za maendeleo hapa wilayani”. Na Masoud Maulid Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim…

7 May 2024, 19:20

Kyela: CHADEMA stop msaada wa kukarabati barabara Masebe

CHADEMA wilaya ya Kyela kimezuiwa kuendelea kutoa msaada wa kukarabati barabara ya kijiji cha Masebe iliyoharibiwa na mafuriko hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuanza kutekeleza ahadi ya kumwaga tripu…

7 May 2024, 18:24

Najivunia Kyela yetu Festival 2024 sasa rasmi Kyela

Siku chache baada ya kuanza kutekeleza majukumu yake ya kusaidia jamii ya Kyela kikundi cha Najivunia Kyela Yetu kimezinduliwa rasmi ndani ya Kyela huku kikiweka mikakati yake kwa mwaka 2024. Na Nsangatii Mwakipesile Kikundi cha Najivunia Kyela Yetu Festival chenye…

6 May 2024, 14:18

108 wakabidhiwa vyeti vya udereva Kyela

Katika kukabiliana na ajali za barabarani jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limetoa vyeti kwa wahitimu miamoja na nane hapa wilayani kyela mbele ya mgeni rasmi afande RTO H.A Gawile. Na Nsangatii Mwakipesile Mrakibu wa jeshi la polisi kitengo cha…

6 May 2024, 13:29

Ikimba yalamba manoti ya Babylon Mwakyambile

Mkurugenzi wa kampuni ya Covenant Edible Oil Ltd wazarishaji wa mafuta ya kyela Cooking Oil na Sungold Cooking Oil Babylon Mwakyambile amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kata ya Ikimba kushikamana ili kufanikisha ujenzi wa ofisi za chama hicho. Na…

30 April 2024, 14:10

Kyela:Madaktari na wauguzi wazembe sasa kukiona chamoto

Katika kuhakikisha kwamba huduma bora za afya zinapatikana katika zahanati,vituo vya afya na hospitali ya wilaya ya kyela serikali imekusudia kuwaondoa kazini watumishi wote walio na lugha mbaya ya matusi kwa wagonjwa hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Ziara ya…