Kahama FM

Recent posts

September 17, 2021, 3:49 pm

SERIKALI:Wafanyabiashara marufuku kuuza majokofu na viyoyozi vya Mtumba.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Seleman Jafo amewataka wafanyabiashara kuacha kuuza Majokofu na Viyoyozi vya mtumba kwani vimeonekana kuleta athari kubwa katika vizazi vijavyo.   Amebainisha hayo jijini Dodoma wakati alipokuwa akifanya ziara katika maduka…

September 13, 2021, 11:14 am

KAHAMA: MLINZI AUAWA KWA KUCHOMWA NA KISU GUEST.

Mlinzi Kampuni ya Ulinzi ya Mast Holding aitwaye STEVEN FELICIAN SAMANDARI (25) ameuawa kwa kuchomwa kisu tumboni na mtu aliyekuwa amemkamata baada ya kuruka uzio akifuatilia wahudumu wa Bar kwa ajili ya mapenzi Mjini Kahama. Kwa Mujibu wa taarifa iliyotolewa…

September 11, 2021, 4:57 pm

MFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB ANUSURIKA KUFA KWA KUPIGWA NA MUME WAKE.

Mfanyakazi wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Debora Rwekwama (34) mkazi wa Bushushu Mjini Shinyanga amefanyiwa ukatili kwa kushambuliwa kwa kupigwa sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake aitwaye JACOBO MWAJENGA (35) kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni…

September 11, 2021, 4:32 pm

Mwanamke auawa akituhumiwa kuwa mchawi.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando Mwanamke aliyejulikana kwa jina la MWALU CHARLES (45) mkazi wa kijiji cha Shilabela kata ya Ulewe wilayani Kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali huku…

September 2, 2021, 10:52 am

DC Kahama atoa siku kumi na nne kwa TARURA.

Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imetoa Siku 14 kwa meneja wa wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA kufanya tathmini katika barabara za mitaa zilizopo katika manspaa ya Kahama ili ziweze kufanyiwa marekebisho. Agizo hilo limetolewa  leo na Mkuu…

September 1, 2021, 12:32 pm

KAHAMA:DC awashukia TARURA ubovu wa barabara ya kusafirisha Mchele.

Mkuu wa wilaya ya Kahama Festo Kiswaga amemwaagiza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA kuzungukia barabara zote zilizo chini yao za mitaa na vijiji ili kubaini maeneo yenye ubovu wa barabara na kuyafanyia marekebisho. Kiswaga ametoa agizo hilo…