Joy FM

miundombinu

18 August 2025, 12:57 pm

Wanachama CCM Msimbati watishia kujiondoa uanachama

Wanachama zaidi ya 150 wa CCM Msimbati wamelalamikia kuondolewa kwa jina la Rashidi Linkoni aliyeshinda kura za maoni, wakitishia kurudisha kadi zao, huku viongozi wa wilaya wakisisitiza maamuzi ya kamati ya siasa Na Musa Mtepa Zaidi ya wanachama 150 wa…

15 August 2025, 16:28 pm

Wanahabari watakiwa kuzingatia weledi uchaguzi mkuu

Mafunzo kwa waandishi wa Jamii FM Redio yamewahimiza kuzingatia weledi, usalama kazini na kujikinga na uhalifu mtandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Na Musa Mtepa Waandishi wa habari wametakiwa kuwa makini na kuzingatia weledi wa taaluma yao, hususan…

30 July 2025, 13:04

Kasulu yaimarisha usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko

Usafi na mazingira ni jambo muhimu katika maisha ya binadamu ambapo usafi humaanisha hali ya kuwa safi kimwili, nyumbani, shuleni, na katika maeneo ya kazi. Na Hagai Ruyagila Uwepo wa vyombo maalumu vya kuzoa taka katika Halmashauri ya mji wa…

30 July 2025, 12:20 pm

Sekta ya ngozi yatoa tumaini kwa maelfu ya vijana

Ili kuhimiza matumizi ya rasilimali ya bidhaa za ngozi, Katibu wa Chama Cha Wazalishaji wa Bidhaa za Ngozi Tanzania, Timoth Funto, ametangaza kuanzishwa kwa mradi wa kutengeneza viatu vya ngozi milioni 10 vitakavyosambazwa katika skuli mbalimbali nchini. Na Mary Julius.…

26 July 2025, 16:08

Ajali yaua wanafunzi 6 wakikimbia mchakamchaka Mbeya

Matumizi mabaya ya barabara pasipo kufuata sheria za barabarani husabisha athali ikiwemo ajali. Na Hobokela Lwinga Wanafunzi sita wa Sekondari ya Chalangwa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki kwa kugongwa na basi lenye namba za usajili T DCE 194 YUTONG…