Joy FM

miundombinu

10 September 2024, 12:00 am

Wanawake Kilosa waaswa kugombea nafasi za uongozi

Na Farida Hassan Uoga na kutojiamini zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea wanawake wengi nchini kushindwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi serikalini. Hayo yameelezwa na Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT Wilaya ya Kilosa Bi Joha…

5 September 2024, 16:23

CCM yatilia shaka ujenzi wa zahanati pesa ikiliwa

Wananchi wa kijiji cha chekenya wilayani mkoani kigoma huenda wakawa wanapitia shuruba za kukosa huduma za afya baada ya zahanati iliyopo kijijini humo kusajiliwa kuwa inatoa huduma huku ikiwa haijakamilika na seriakli ikiitengea bajeti kuwa miongoni mwa zahanati zinazotoa huduma…

5 September 2024, 09:34

Watu 9 wafariki,18 wajeruhiwa ajalini Mbeya

Basi lililokuwa linatokea Sumbawanga kuelekea Ubaruki na lilipofika eneo la Kijiji cha ya Mbarali kwenye kona kali dereva alishindwa kulimudu na kusababisha ajali. Na Hobokela Lwinga Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya Lina Mshikilia Dereva Alfredy Baharia Mwidunda [50] Mkazi…

27 August 2024, 13:18

Wananchi wapinga ujenzi wa daraja lisilo na ubora

Wananchi wa kijiji cha Kigogwe, kata ya Munzeze, Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, wameibua upinzani mkali dhidi ya ujenzi wa daraja linalojengwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) katika mto Luiche. Ripoti kamili na Emmanuel…

20 August 2024, 9:48 am

Veta Iringa yahitimisha mafunzo kwa madereva zaidi 126

Na Adelphina Kutika Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoani Iringa kimehitimisha Mafunzo kwa Madereva wa Maroli 110 na Magari ya Abiria 16 ( PSV) kwa kipindi cha wiki Mbili lengo likiwa ni kupunguza ajali za barabarani. Akizungumza na Madereva hao…

12 August 2024, 09:47

Anusurika kufa baada ya kufukiwa na kifusi

Mkuu wa wilaya Kigoma Mh. Salum Kalli amewataka wafanyakazi kwenye miradi mbalimbali ya barabara kuchukua tahadhari wakati wakichimba vifusi ili kuepuka kufukwa kwa maporomoko ya udongo. Na Tryphone Odace – Kigoma Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Michael Christopher fundi…

26 July 2024, 10:02

Usafi wa mazingira pasua kichwa Kasulu mji

Serikali katika halmashauri ya mji wa kasulu mkoani kigoma imesema inaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha wanadhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kuwachukulia hatua za kisheria wanaochafua mazingira. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo katika halmashauri ya Mji wa Kasulu…

18 July 2024, 11:40

Wapanda juu ya miti kutafuta mawasiliano Geita

Serikali imesema itaendelea kujenga minara nchini nzima ili kuhakikisha mawasiliano yanapatikana kwa wananchi waliokuwa hawapati mawasiliano ili kuchochea maendeleo. Na Samwel Masunzu Wananchi wa kata ya Nyakagomba wilayani Geita mkoani Geita wamesema walikuwa wanalazimika kupanda kwenye vichuguu na milima kutafta…

18 July 2024, 11:39

Barabara zawa kero kwa wananchi Mkigo

Wananchi wa vijiji vya kata ya MKigo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, wameiomba serikali kutatua changamoto zinazowakabili, ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara zilizoharibika kutokana na mvua nyingi zilizonyesha msimu wa mwaka 2023-2024, huduma za umeme wa REA…