Joy FM
Joy FM
5 December 2025, 12:01 pm
Baadhi ya wafugaji wa mbwa katika halmashauri ya mji wa Ifakara wamehoji sababu za vifo vya baadhi ya Mbwa baada ya chanjo ya kichaa cha Mbwa, huku wengine wakisisitiza chanjo hiyo kuwa salama. Idara ya Mifugo imefafanua kuwa hakuna madhara…
28 November 2025, 5:15 pm
Siku ya Lishe Kitaifa huadhimishwa kila mwaka nchini Tanzania ili kukumbusha dhana ya haki ya kupata chakula bora, kupambana na udumavu, na kuhimiza uwekezaji katika afya dhamira inayokwenda sambamba na mpango wa taifa wa kuboresha lishe ulioanzishwa miaka kadhaa iliyopita.…
17 November 2025, 13:24
Wazazi na walezi Mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanawalea watoto wao katika malezi yaliyo bora Na Hagai Ruyagila Katibu tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amewataka maafisa maendeleo ya jamii na maafisa ustawi wa jamii katika Halmashauri zote za Mkoa…
13 November 2025, 9:16 am
Pichani ni mkuu wa wilaya ya Moshi Godfrey Mnzava(aliyevalia nguo ya dark blue )akiwa na viongozi mbalimbali wa shirika la Floresta Tanzania katika hotel ya African Flowers Himo mkoani Kilimanjaro(picha na Elizabeth Mafie) Shirika lisilo la Kiserikali Floresta Tanzania limehitimisha…
October 15, 2025, 9:44 am
Na Anord Kimbulu, Songwe Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa, wakulima wa kahawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameanza kunufaika na mafunzo ya kitaalamu pamoja na…
September 26, 2025, 7:32 am
Na Denis Sinkonde Songwe.Wafanyabiasahara na wananchi Mkoani Songwe wameaswa kuacha vitendo vya kukwepa ulipaji kodi kupitia Mamlaka ya Mapato mkoani humo(TRA) huku wakikumbushwa kuwa kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa na wananchi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa…
18 September 2025, 5:49 pm
Wakazi wa mtaa huo wa Miembeni wameishukuru Serikali na mamlaka ya maji Bunda kwa kuwakumbuka kuwafikishia huduma ya maji safi Na Adelinus Banenwa Zaidi ya kaya 125 kata ya Bunda stoo mtaa wa miembeni maarufu Ukanda wa Gaza kunufaika na…
17 September 2025, 09:37
Mtoto aliyetelekezwa na mama yake akiwa darasa la pili na kulelewa na shule ahitimu masomo ya darasa la saba huku wito ukitolewa kwa wadau kujitokeza kumsaidia. Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya…
3 September 2025, 7:09 pm
Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuwekeza katika mkoa huo kwa kujenga hotel za kisasa, migahawa na nyumba za kulala wageni kutokana na kasi ya ukuaji wa mkoa. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga…