Joy FM

maafa

22 August 2024, 10:33 pm

Mahakama yapiga stop vijiji kufutwa Ngorongoro

Baada ya kuwepo kwa taarifa za kufutwa kwa baadhi ya vijiji wilayani Ngorongoro kumekuwepo wadau mbalimbali wa kutetea haki za wanangorongoro kuhakikisha wanapata haki na huduma zao za msingi kama ilivyo kwa wananchi wengine hapa nchini. Na mwandishi wetu. Mahakama…

9 August 2024, 10:23 am

ACT Wazalendo yasikiliza kero za wananchi Katavi

mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT wazalendo zuberi zitto kabwe akizungumza na wananchi mkani Katavi.picha na John Mwasomola “Amekutana na kero ya  wananchi kudai kuhamishwa eneo hilo la luhafwe kwa ajili ya  kupisha wawekezaji 26 “ Na John Mwasomola -Katavi…

8 August 2024, 4:58 pm

Tarehe kumi Zanzibar kuwa ya kijani

Na Mary Julius Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Zanzibar  Abdi Mahmoud Abdi amewataka vijana pamoja na wananchi kuzitumia vizuri barabara na kuzitunza ili ziweze kutumika kwa muda mrefu zaidi. Amesema hayo Gymkana mara…

7 August 2024, 9:44 pm

Waganga wa tiba asili Kagera walia na matapeli

Huduma ya tiba asili mkoani Kagera imeendelea kukumbwa na changamoto ya kuingiliwa na watu wasio na ujuzi huo wakijivika mamlaka ya uganga na kuwatapeli wananchi kwa mwavuli wa uganga wa tiba asili Na Theophilida Felician. Waganga wa tiba asilia nchini…

7 August 2024, 13:32

Madereva watakiwa kutii sheria za barabarani

Jeshi la polisi wilayani kasulu mkoani kigoma limewataka madereva wa vyombo vya moto na watumiaji wa barabara kuzingatia matumizi ya barabara ili kuepukana na ajali zinazojitokeza wakiwa barabarani. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Watumiaji wa vyombo vya moto hususani waendesha…

12 July 2024, 3:30 pm

WEO Kanyigo asusiwa kikao kwa kufukuza wanahabari

Wandishi wa habari nchini wanaendelea kukumbana na vikwazo kazini kila uchao licha ya matamko yanayotolewa na viongozi wa kitaifa katika majukwaa mbalimbali. Ni hivi karibuni tu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kilele cha siku ya uhuru wa vyombo vya…

8 July 2024, 7:38 pm

Waziri Bashungwa awaita wawekezaji kuja Karagwe

Sekta ya uwekezaji hutegemea mazingira ya eneo husika na uhitaji wa soko la bidhaa zitakazopatikana kutokana na uwekezaji husika. Kwa wilaya ya Karagwe mazingira ya uwekezaji yako vizuri licha ya changamoto ndogo ya miundombinu ya maji na barabara ambazo mbunge…