Joy FM

maafa

25 September 2024, 6:31 pm

Vijana jitokezeni kugombea nafasi za uongozi CUF Zanzibar

Na Khalida Abdulrahman Chama cha Wananchi CUF kimewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho. Akizungumza na Zenj FM Mkurugenzi wa Itifaki na Udhibiti wa Chama Cha Wananchi CUF Taifa Rajab Mbarouk Mohd akiwaa  makao…

18 September 2024, 8:16 pm

Rwamishenye wadai kuhujumiwa zawadi za ligi ya Byabato

Baadhi ya wananchi wa kata ya Rwamishenye manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameibuka na tuhuma dhidi ya diwani wa kata hiyo bw. Juma Sued Kagasheki wakimtuhumu kuhujumu zawadi walizostahili baada ya kuibuka na ushindi wa tatu katika mashindano ya ligi…

17 September 2024, 11:30

Wakristo watakiwa kuliombea Taifa

Wakristo Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuliombea Taifa ili Mungu aweze kuliepusha na matatizo yanayoendelea kujitokeza ikiwemo mauwaji na utekaji wa watu Nchini. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani Kigoma Mhasham Emmanuel…

9 September 2024, 9:46 pm

Rushwa, kuvuja siri chanzo cha uvunjifu wa amani Kagera

Kipindi cha kuelekea chaguzi hapa nchini viongozi wa taasisi mbalimbali hujitokeza na kuiasa jamii juu ya umuhimu wa kuitunza amani ya nchi hasa kwa mikoa ya pembezoni ambayo kwa kiasi kikubwa inapakana na mataifa yenye ukosefu wa amani Na Theophilida…

7 September 2024, 12:08 am

Sababu ACT Wazalendo kuunda baraza la mawaziri kivuli Zanzibar

Na Mary Julius. Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman, amesema baraza hilo ni fursa na jukwaa muhimu la kuwawezesha wananchi kusimamiwa maslahi yao kwa ukaribu zaidi na fursa ya kuweza kuyasimamia vyema maeneo yote yaliyoainisha kwenye…

28 August 2024, 13:51

Vijana watakiwa kutunza mazingira Kasulu

Ili kudhibiti magonjwa ya mlipuko, halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma imeendelea kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kufanya usafi huku ikiendelea kutoa elimu kwa wananchi waweze kuzingatia usafi wa mazingira. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Vijana kutoka taasisi ya…