Joy FM

elimu

23 July 2025, 16:05

Wasafiri waombwa kutoa taarifa za uvinjifu wa amani

Wasafiri wametakiwa kutoa taarifa za uvunjifu wa amani wakati wakiwa safarini. Na Hagai Ruyagila Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani Wilayani Kasulu limetoa wito kwa wasafiri wote wanaotoka Wilaya hiyo kuelekea maeneo mengine kutoa taarifa mapema wanapobaini dalili zozote…

July 22, 2025, 2:15 pm

Washiriki 86 wapatiwa mafunzo ya uchaguzi Arusha

Washiriki 86 kutoka mikoa ya Arusha na Manyara  wamepatiwa mafunzo ya uchaguzi yakilenga kuwaanda kusimamia mchakato wa uchaguzi kwa weledi. Na Jenipha Lazaro Mjumbe wa tume ya uchaguzi nchini Zakia Abubakar amesema masharti ya ibara ya 74 ya ibara  ndogo…

21 July 2025, 15:44

Wafanyabiashara wahimizwa kuwekeza UTT Amis

Wajasiriamali wakubwa na wadogo pamoja na wafanyabiashara zaidi ya 100 wamepatiwa elimu ya uwekezaji mitaji. Na Emmanuel Matinde Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Chuachua, amehimiza jamii kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba pamoja na kufundisha kizazi cha sasa umuhimu…

19 July 2025, 9:35 am

Ajali yaua watatu Iringa

Uzembe wa Madereva na kutofuata alama za usalama barabarani imetajwa kuwa sababu za ajali barabarani. Na Hafidh Ally Watu watatu wamefariki Dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika Kijiji cha Imalutwa, Kata ya Lugalo, wilayani…

18 July 2025, 13:11

Kilimo cha chikichi chawa lulu Kasulu

 Kilimo cha zao la mchikichi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kimeanza kuleta mafanikio kiuchumi kwa wakulima kufuatia usambazaji wa mbegu bora aina ya Tenera. Na Emmanuel Kamangu Wananchi wilayani Kasulu mkoa wa Kigoma wametakiwa kuchangamkia fursa ya…

18 July 2025, 11:25 am

Madada poa 17 watiwa mbaroni Katavi

Kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi SACP Kaster Ngonyani. Picha na Samwel Mbugi ” Tumekamata vijana 3 na madada poa 17 na tumewapeleka mahakamani” Na Samwel Mbugi Jeshi la polisi mkoani Katavi limefanikiwa kukamata madada poa 17 na vijana 3 waliokuwa…

18 July 2025, 9:38 am

TADIO inafanya vizuri, waandishi rudini shule

“Hatuwezi kuendelea na vichekesho lazima taaluma iwe serious…Vichekesho vilikuwa vinachukua nafasi kubwa kuliko uandishi wa habari” Na Anthony Masai Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile amevimwagia sifa vituo vya redio za kijamii nchini vilivyo chini ya mwamvuli…

July 12, 2025, 10:57 am

Wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za uongozi

Wanawake nchini wametakiwa kuacha hofu na kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Urais, ubunge na udiwani. Na Mariam Mallya Kiongozi wa Act Wazalendo ambaye pia ametia nia ya kugombea nafasi ya Urais kwa tiketi ya chama hicho…

10 July 2025, 12:41

Wananchi wahimizwa kujiunga na bima ya afya

Hakuna anayepanga kuugua au kuumia, lakini afya yako inaweza kubadilika kwa kufumba na kufumbua. Na Samwel Mpogole Wananchi wametakiwa kuhakikisha wanajiunga na huduma za bima ya afya ili kuepuka changamoto za gharama kubwa za matibabu pale wanapopatwa na madhila ya…