Joy FM

Uncategorised

14 February 2024, 11:47

Watoto 61,545 kupatiwa chanjo ya surua rubella Kibondo

Watoto kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubela ikiwa ni mkakati wa serikali wa kuhakikisha wanadhibiti ugonjwa huo kwa watoto nchini. Na James Jovin Wizara ya afya imelenga kutoa chanjo ya Surua Rubella kwa watoto wapatao 61,545 wenye umri chini…

13 February 2024, 11:36

Makala: Redio inavyomkomboa mwananchi Kigoma

Katika kuangazia siku ya redio duniani wananchi na wadau mbalimbali wamehusika katika kuzungumzia umuhimu wa redio katika jamii. Ikumbukwe kuwa kauli mbiu mwaka 2024 ni ”Redio: Karne ya kufahamisha, kuburudisha na kuelimisha” ”Inaangazia mambo mengi ya zamani, yanayofaa ya sasa…

12 February 2024, 15:12

Maji ya mito yatajwa chanzo kikuu cha magonjwa ya mlipuko

Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa kuzingatia usafi wa mazingira ili kujilinda na magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakiwakumba baadhi ya wakazi wa mkoa huu katika baadhi ya maeneo ikiwemo kibirizi, Kalalangabo na Gungu lakini na wilaya ya Uvinza ambapo watu 74…

9 February 2024, 13:56

Wanafunzi 600 hawajaripoti shule wilayani kibondo

Ofis ya Eliu wilayani Kibondo imeanza msako wa kuwatafuta wanafunzi waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza na hawajaripoti shuleni mpaka sasa. Na, James Jovin Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imeanza msako wa wanafunzo wote ambao bado hawajajiandikisha kuanza masomo…

7 February 2024, 15:23

Wafanyabiashara Kasulu wahimizwa kutunza mazingira

Wafanyabiashara na wajasiriamali katika halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na vitunzia taka katika maeneo yao kwa ajili ya kuhifadhi uchafu.  Na, Mwandishi wetu Emmanuel Kamangu anasimulia zaidi

7 February 2024, 14:32

Halmashauri ya Kibondo kujenga jengo la ghorofa 3

Halmashauri ya wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imetenga shilingi bilioni 2.5 ili kujenga jengo jipya la vijana community center ikiwa ni mikakati ya kuchochea na kukuza uchumi wa halmashauri na jamii kwa ujumla  Na, James Jovin Hayo yamebainishwa na diwani…

5 February 2024, 15:32

Viongozi wa dini wakemea ramli chonganishi Kigoma

Jamii imeshauriwa kutojihusisha na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo vinafanywa na waganga wa kienyeji ili kuwatapeli wananchi. Na, Josephine Kiravu Viongozi wa dini Kutoka madhehebu mbalimbali Mkoani kigoma wamekemea vikali vitendo vinavyoendelea kufanywa na waganga wanaopiga ramli chonganishi maarufu kwa…

5 January 2024, 17:38

Mafuriko yazihamisha kaya 17 wilayani Kasulu

Takribani Kaya 17 katika mtaa wa Kigungani Kata ya Mwilanvya Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hapo jana na kupelekea baadhi ya kaya kuhama. Na, Hagai Ruyagila Mvua hiyo iliyodumu kwa zaidi ya…