Jamii FM
Jamii FM
4 December 2025, 5:52 pm
“Bati hizi ni utekelezaji wa ahadi ambayo niliitoa kwenu na naikabidhi rasmi hii leo” Na Ayoub Sanga Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhil Ngajilo, amekabidhi mabati 100 kwa Wafanyabiashara wa Kuku katika Soko la Mlandege, kwa ajili ya kukamilisha…
28 November 2025, 9:14 am
KURUNZI MAALUMU Katika hali ya ukame uliokolea na utegemezi wa mvua, hasa Manyara, Orkonerei FM inakuletea Kurunzi Maalumu inayoangazia Kilimo cha Umwagiliaji kama mkombozi mkuu. Sikiliza jinsi wakulima wa Kata ya Terrat, Simanjiro, wanavyotumia vyanzo vidogo vya maji kama korongo…
19 November 2025, 12:57 am
Na. Abdunuru Shafii Karibu kusikiliza Makala fupi inayozungumzia kwa kina athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi katika kilimo nchini Tanzania, hususan katika Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma. Wakulima wamekuwa wakikumbana na mabadiliko yasiyotabirika ya mvua ikiwemo vipindi virefu…
10 November 2025, 10:18 am
Wadau wa maendeleo wanaaswa kuwekeza katika elimu, teknolojia rafiki kwa mazingira, na miradi ya kiuchumi itakayowawezesha wanawake kuwa sehemu ya suluhisho la mabadiliko ya tabianchi. Na Abdunuru Shafii Wanawake wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameendelea kukabiliwa na athari kubwa…
24 October 2025, 8:34 am
“Magari haya yatakuwa chachu ya kupunguza matukio ya uhalifu mkoani Iringa” Na Hafidh Ally MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James amekabidhi magari mapya manane (8) kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi na…
20 October 2025, 6:36 pm
Ujenzi huo umewezeshwa na Polish Aid na Foundation Kiabakari, na sasa kituo kina uwezo wa kuhudumia watoto 160 kwa kutoa malezi, elimu, ushauri nasaha na ulinzi wa kijamii. Na Thedy Thomas Katika juhudi za kulinda na kuwahudumia watoto waliokumbwa na…
17 October 2025, 8:20 am
Nuru FM kupitia Kampeni yake ya ulipo tupo imeendelea kufanya matukio ya kijamii kuelekea katika kilele cha miaka 17 toka kuanzishwa kwake. Na Hafidh Ally Kuelekea kusherehekea Miaka 17 toka Nuru fm Radio ilipoanishwa, Wafanyakazi wa Kituo hicho wametembelea hospital…
October 13, 2025, 10:42 pm
Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere, jumuiya za wazee wa mkoa wa Arusha wameandaa matembezi ya amani ikiwa na lengo la kumuenzi. Na Jenipha Lazaro Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa…
September 5, 2025, 3:25 pm
Kufuatia kukwama kwa baadhi ya miradi yamaendeleo kwa muda mrefu katika kata ya Igurwa wilayani Karagwe mgombea udiwani kupitia chama cha ACT Wazalendo ameahaidi kukamilika kwa miradi hiyo kwa muda mfupi endapo atachaguliwa. Na Anold Deogratias Mgombea udiwani kata ya…
4 September 2025, 5:14 pm
Chama cha Ushirika TUSHIKAMANE AMCOS kilichopo kata ya Mwaya, wilayani Ulanga mkoani Morogoro, kimewalipa wakulima 14 zaidi ya shilingi milioni 66 walizokuwa wanadai kwa msimu wa kilimo 2024, kwa kushirikiana na serikali ya wilaya kupitia Idara ya Kilimo. Na: Isidory…