Jamii FM

Malezi

21 September 2025, 3:32 pm

Wazazi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili

Wazazi mkoani Manyara wametakiwa kuwalinda watoto wao ambao wamehitimu darasa la saba katika kipindi hiki ambacho wanajiandaa kuingia kidato cha kwanza  ili wasifanyiwe vitendo vya ukatili. Na Mzidalfa Zaid Wito huo huo umetolewa na mkuu wa shule ya Greenland Primary…

16 September 2025, 09:56

Miradi 56 ya shilingi 64.7b kupitiwa na mwenge Kigoma

Mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2025 zimeanza rasmi mkoani Kigoma ambapo miradi 16 ikitarajiwa kuwekewa mawe ya Msingi, mmoja kufunguliwa, 27 kuzinduliwa huku mingine 12 ikitembelewa na kukaguliwa. Na Tryphone Odace Mwenge wa uhuru umeanza mbio zake Mkoani…

13 September 2025, 6:56 am

Rushwa ya ngono inaathirije wanawake katika uongozi?

Viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa kupinga ukatili wameweka wazi namna tatizo hili linavyowaathiri wanawake. Na Dinnah Shambe Wanawake wengi wanaojitokeza kuwania nafasi za kisiasa hukumbana na kikwazo kikubwa-rushwa ya ngono,hali hii si tu inawakatisha tama,bali pia inazima ndoto za…

6 August 2025, 2:21 pm

Madereva bodaboda Mpanda watakiwa kuwa na umoja

Picha ya bodaboda zilizoegeshwa kwenye moja ya kituo. Picha na Roda Elias “Wenyeviti wa vijiwe watilie mkazo jambo hili” Na Roda Elias Madereva pikipiki maarufu kama bodaboda wa  kata ya Mpanda Hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuwa na…

2 August 2025, 13:15 pm

Kipindi: Mchango wa wazazi, walezi kupunguza watoto wa mtaani

“Mtaa hauna mtoto ila watoto wanatoka kwenye jamii zetu wenyewe” Na Gregory Millanzi Jamii inapaswa kuzingatia malezi bora ya watoto na kupunguza au kuacha kabisa kutelekeza familia zao jambo ambalo linapelekea watoto wengi kushindwa kupata malezi bora na huduma stahiki…

26 March 2025, 7:47 pm

Sumu kuvu ilivyoathiri watoto Babati

Imeelezwa kuwa baadhi ya watoto wa kuanzia umri wa miezi 6- 24 wilayani Babati mkoani Manyara wameathiriwa na changamoto ya sumu kuvu kutokana na jamii kutokuwa na uelewa wa kuhifadhi mazao katika sehemu salama. Na Mzidalfa Zaid Kufuatia utafiti uliofanyika…