Jamii FM

Jamii

26 April 2024, 20:50 pm

DC:Munkunda awataka wananchi kudumisha muungano

Faida za muungano wa Tanganyika na Zanziba ni nyingi kwa pande zote mbili zikiwemo za kibiashara,Uchumi na kijamii Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara  Mwanahamisi Munkunda amewaomba wananchi  kuwa wamoja katika  kuuenzi  na kudumisha muungano wa Tanganyika na…

23 April 2024, 17:20 pm

Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP

lengo ni kuandaa jumla ya Mipango Shirikishi ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji 52 katika Wilaya ya Mvomero ambapo hadi kufikia sasa tayari mipango 48 imekwishaandaliwa Na Mwandishi Wetu Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na…

22 April 2024, 16:30 pm

Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi

Inaonesha kumekuwa na ongezeko la vitendo vya utovu wa nidha kwa  watu wa umma wakiwa kazini ikiwemo Rushwa na upungufu wa maadili. Na Mwanahamisi Chikambu Kamishina wa utumishi umma  Balozi John Haule amewataka watumishi wa umma mkoa wa Mtwara kufanya…

16 April 2024, 13:03 pm

Wananchi Mangamba Chini walia na ubovu wa barabara

Barabara hiyo hivi sasa imekuwa Mbovu kupitiliza ukilinganisha na kipindi cha nyuma ambacho Gari zinazobeba Watoto kuwapeleka shuleni zilikuwa zinapita bila mashaka lakini kwa hivi sasa imekuwa tofauti Na Grace Hamisi Wananchi wa mtaa wa Mangamba Chini Manispaa ya Mtwara…

10 April 2024, 23:17 pm

RPC Mtwara: Zingatieni sheria za usalama barabarani

kKuvaa kofia ngumu kwa mwendesha wa pikiki ni suala la kisheria hivyo ni wajibu kwa maafisa usafirishaji (Bodaboda) wote mkoani Mtwara na abiria wake kuzingatia sheria hiyo. Na Musa Mtepa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Mwandamizi…

10 April 2024, 13:52 pm

Waislam watakiwa kuishi maisha yanayompendeza Mwenyezi Mungu

Kumewa na kutozingatia matukufu na makatazo ya Mwenyezimungu ambayo huenda ikawa sababu ya kuwepo kwa ugumu wa Maisha kutokana na Binadamu kutozingatia maagizo yake Na Musa Mtepa Waislam wametakiwa kuendelea kuishi Katika Maisha  walivyoishi kwenye  Mwezi mtukufu wa Radhamani ili…

18 January 2021, 11:43 am

Ajiua kwa wivu wa Mapenzi

Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake Awali akizungumza na Newala FM mtoto…