Jamii FM

Afya

19 September 2025, 12:09 pm

Aldersgate yamlipa mwalimu aliekuwa anadai stahiki zake

Kufuatia malalamiko ya Babigumira Sauli, raia wa Uganda, dhidi ya Shule ya Aldersgate,Babati mkoani Manyara akidai mafao yake kwa kipindi alichokuwa akifanya kazi shuleni hapo, hatimae amelipwa stahiki zake zote.  Na Mzidalfa Zaid Akizungumza mara baada ya kulipwa fedha hizo amesema…

16 September 2025, 6:38 pm

DC Kaganda awataka wakuu wa idara kutenda haki

Mkuu wa wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda leo amesikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo amewataka wakuu wa idara kutenda  haki wanapotatua kero za wananchi. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza katika viwanja vya stendi ya zamani, Kaganda amesema kazi ya serikali…

11 September 2025, 9:38 pm

Viongozi sekta binafsi watakiwa kutokuwa miungu watu

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga,amewaonya viongozi wa sekta binafsi ambao wamekuwa wakijifanya miungu watu kuacha tabia ya kuwanyanyasa wafanyakazi ikiwemo kutowapatia mikataba  Na Mwandishi wetu Sendinga amesema hayo Leo katika kikao Cha kusikiliza na kutatua kero za wananchi,…

11 September 2025, 9:43 am

RC Sendiga asikiliza na kutatua kero za wananchi

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga  amesikiliza na kutatua kero za wananchi kutoka wilaya zote za Mkoa wa Manyara katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Na Mzidalfa Zaid Katika kikao hicho Sendiga amesikiliza…

8 August 2025, 3:42 pm

Wadau sekta ya kilimo watakiwa kutimiza wajibu wao kwa weledi

Maadhimisho ya wakulima ya Nanenane mwaka huu yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma, yakilenga kuhamasisha uzalishaji na matumizi ya teknolojia katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi. Na Seleman Kodima.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito…

31 July 2025, 5:13 pm

Washiriki 1163 kushiriki maonesho ya kilimo nanenane

Maonesho hayo yamebebwa na Kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025. Na; Mariam Kasawa. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amesema kuwa washiriki wapatao 1163 wamethibitisha kushiriki katika Maonesho…

24 July 2025, 3:46 pm

Wajawazito wapatiwa msaada na polisi jamii

Wanawake wanne wajawazito wamepatiwa msaada wa matibabu pamoja na zawadi baada ya kujifungua kutokana na ahadi iliyotolewa na mkuu wa polisi jamii wilaya ya Hai ASP Elishafra S. K wakati wa sherehe za jeshi la polisi wilaya ya Hai Na…