Huheso FM
Huheso FM
18 October 2025, 8:23 pm
Mkutano huo katika kata ya Mwaya ulihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali wa CCM wa kitaifa na mkoa, ambao walisisitiza mshikamano na amani katika kipindi chote cha kampeni na hata baada ya uchaguzi Na Katalina Liombechi Mgombea mwenza wa urais kupitia…
17 October 2025, 7:55 pm
“Naomba mnichague nitahakikisha watu wote wanapata mikopo bila kuonewa “ Na Katalina Liombechi Mgombea Udiwani Kata ya Viwanjasitini kupitia Chama cha Mapinduzi Flora Kwangu leo akizindua Kampeni zake amesema miongoni mwa mambo atakayoshughulikia ni pamoja na changamoto ya Miundombinu ya…
16 October 2025, 8:18 pm
sekta ya kilimo, ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Watanzania wengi, Mgombea urais kupitia chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Bi. Mwajuma Notty Mirambo, ameahidi kuboresha mazingira ya kilimo kwa kukifanya kuwa cha biashara na chenye tija…
25 August 2025, 1:01 pm
“Walezi/Wazazi tunalo jukumu kubwa la kuwalinda watoto wetu wakati wote bila kujali mazingira waliyopo ili kuwakinga na vitu vinyoweza kuzuilika maana watoto ni tunu ya taifa lijalo”. Na,Anitha Balingilaki Watoto watatu wa kutoka kwenye familia tatu wawili wakiwa wa kitongoji…
August 22, 2025, 3:56 pm
Kwa kipindi cha miaka minne wasichana hao wamesomeshwa bure na Serikali kupitia mpango wa kuboresha elimu ya Sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP-AEP). Na Shafiru Yusuph- Muleba, Kagera Wasichana 264 waliokatizwa na masomo ya Sekondari kwa sababu mbalimbali zikiwemo ujauzito wamerudishwa…
August 22, 2025, 2:04 pm
Familia moja iliyopo barabara ya Losaru mtaa wa Bondeni, Kijenge Kusini jijini Arusha imelalamikia utupaji wa taka hovyo na utiririshaji wa maji taka unaofanywa na baadhi ya wapangaji waliopo eneo hilo, hali inayohatarisha afya za wakazi pamoja na usalama wa…
August 21, 2025, 2:07 am
Shilingi bilioni 45 zinatarajiwa kutumika kujenga madaraja matano mkoani Kagera ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati za mvua hali inayokwamisha shughuli za usafiri na ufarishaji mkoani Kagera. Na Avitus Kyaruzi Serikali inatekeleza ujenzi wa madaraja matano ambayo yamekuwa hatarishi hasa nyakati…
August 4, 2025, 6:54 pm
Wasimamizi wanatakiwa kufuata sheria, taratibu na miongozo ya Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushirikisha vyama vyote vya siasa vyenye usajili kamili katika hatua zote kuepuka migogoro Na Shafiru Athuman- Muleba, Kagera Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata Wilayani Muleba Mkoani…
1 August 2025, 6:25 pm
Wananchi wa Kijiji cha Kware kilichopo kata ya Masama Kusini wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameaswa kuachana na matendo kinyume na maadili na uvunjifu wa amani unaosababisha watu kukosa usalama wao na mali zao,pamoja na kuacha matumizi ya madawa ya…
27 July 2025, 19:37
Jinamizi la ajali limeendelea kuukumba mkoa wa Mbeya. Na Hobokela Lwinga Ajali hiyo imetokea leo Julai 27, ambapo kituo hiki kimefika katika maeneo hayo na kushuhudia Jeshi la Polisi, Zimamoto na wananchi wakisaidia kuokoa baadhi ya majeruhi na kutoa miili…