Dodoma FM
Dodoma FM
5 December 2025, 5:21 pm
Madiwani Halmashauri ya Sengerema wamekula kiapo cha kuwatukia wananchi wa Halmashauri hiyo baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oct.29 2025 Na,Emmanuel Twimanye Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza wamewatakiwa kwenda kufanya kazi kwa kutanguliza mbele maslahi ya wananchi.…
19 November 2025, 12:01 pm
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akikabidhi mbegu kwa mkulima. Picha na Restuta Nyondo “Sisi kama wilaya tumejipanga kuwawezesha vijana waweze kujiajiri katika kilimo” Na Restuta Nyondo Vijana wilayani Mpanda wametakiwa kutumia fursa ya maonesho ya ufunguzi wa msimu…
21 October 2025, 8:23 am
Lengo la huduma hiyo sasa ni kufika nje ya mkoa wa Geita ili kufikisha ujumbe wa Injili kwa Watanzania wengi zaidi. Na Kale Chongela – Geita Uwepo wa mikutano ya Injili katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita umeendelea kuleta…
16 October 2025, 8:48 am
Ujenzi wa hospitali hiyo ni hatua muhimu katika kupanua wigo wa huduma zinazotolewa na kanisa hilo mjini Katoro. Na Mrisho Sadick: Kanisa la EAGT Nazareth Stamico lililopo katika mji wa Katoro wilayani Geita limepanga kuanzisha ujenzi wa Hospitali ya kisasa…
6 October 2025, 12:11 pm
Viongozi wa dini wana wajibu mkubwa wa kuhimiza amani kwa waumini wao kwani ni wadau muhimu katika kulinda tunu ya taifa. Na Mrisho Sadick: Viongozi wa dini Mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu, wakiwataka…
14 September 2025, 10:33 am
Mhomboje amesisitiza kuwa zoezi la uchaguzi linawahusu Watanzania pekee, na kwamba raia wa kigeni hawaruhusiwi kushiriki kwa namna yoyote ile. Na Edward Lucas Wananchi wametakiwa kutokuwa na hofu kutembelea ofisi za Uhamiaji kwa ajili ya kuuliza na kupata taarifa mbalimbali…
2 September 2025, 9:28 pm
Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia kampuni tanzu Mati Technologies imekuja na teknolojia ya kisasa ya Ndege nyuki (drone) kwa ajili ya sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii ili kuongeza ufanisi. Na Mzidalfa Zaid Mkurugenzi Mtendaji wa…
20 August 2025, 9:00 pm
Jamii imetakiwa kuendelea kuwakumbuka wajane kwakuwa wengi wao wanapitia changamoto nyingi hususani za kiuchumi Na Kale Chongela: Kanisa la TAG Heri Wenye Moyo Safi Mtaa wa Nyantorotoro B Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita limetoa msaada wa vyakula kwa watu…
11 August 2025, 1:49 pm
Mwanamke huyo amekiri kuwa amekuwa akiishi maisha ya mateso kwa kuota ndoto za kutisha akiwa kwenye shughuli hizo za kishirikina. Na Kale Chongela: Wakati mikutano ya injili ikiendelea kuwagusa watu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita, Mwanamke mmoja kutoka…
22 July 2025, 2:23 pm
Ikumbukwe kuwa mradi wa ukarabati wa jengo la zahanati ya Ihumwa ulianza tarehe 10 /08/2023, ukigharimu kiasi cha shilingi milioni 235.9 fedha kutoka Shirika la Wahisani ABBOT. Na Lilian Leopord. Uboreshwaji wa miundimbinu uliofanyika katika zahanati ya Ihumwa iliyopo jijini …