Dodoma FM

Watoto

July 1, 2025, 10:34 pm

Kahama kuwa mji wa kisasa ifikapo 2050

Kupitia mradi wa Mpango Kabambe Kidikitali, Kahama kuwa mji wa kisasa ifikapo 2050 Na Sebastian Mnakaya Baadhi ya Migogoro ya ardhi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inakwenda kufikia mwisho baada ya kuanza kwa mradi wa Mpango Kabambe wa kidikitali…

5 April 2025, 12:08 am

Diwani na wenzake wapandishwa kizimbani Bunda

Watuhumiwa hao wanatajwa kutenda makosa ya Matumizi mabaya ya Madaraka, kughushi nyaraka kwa lengo la kumdanganya muajiri, kuunda vikundi hewa na kufanya ubadhirifu wa shilingi milioni 3. Na Adelinus Banenwa Watu wanne akiwemo diwani wilayani Bunda wamefikishwa mahakani kwa tuhuma…

1 March 2025, 6:44 pm

Zaidi ya mil.300 kutolewa mikopo ya 10% Sengerema

Wananchi wameonyesha kufurahia baada ya mikopo ya asilimia kumi kurejeshwa huku wakidai wameumizwa sana na kausha damu baada ya serkali kusitisha mikopo hiyo kwa vijana,wanawake na wenye ulemavu. Na,Elisha Magege Halmashauri ya Sengerema imetoa mafunzo ya siku moja ya namna…

24 February 2025, 18:18

Wananchi Mbeya wafurahia huduma ya mama Samia legal aid

Wananchi Mbeya wafurahia ujio wa msaada wa kisheria wa mama Samia legal aid uliozinduliwa February 24,2025. Na Hobokela Lwinga Msaada Wa Kisheria Kwa Maana Ya Legal Aid imezinduliwa Mkoani Mbeya ikiwa Ni Na lengo la Kutatua Changamoto za Kisheria ambazo…

15 January 2025, 5:09 pm

Tunawezaje kudhibiti ukatili wa kijinsia mahala pa kazi?

Mwandishi wetu Alfred Bulahya ametuandalia kisa kuhusu shujaa aliyemsaidia mhanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia mahala pa kazi. Na Seleman Kodima.Umoja wa Mataifa, unafafanua kuwa ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote anachofanyiwa mtu yeyote awe mwanamke, mwanaume au mtoto,…