Dodoma FM

Watoto

7 November 2025, 4:34 pm

Migogoro ya familia inavyoathiri malezi ya watoto

jamii imetakiwa kuacha migogoro  na kuzingatia maslahi ya watoto katika familia. Na Anwary Shaban. Imeelezwa kuwa migogoro na ugomvi kati ya baba na mama ndani ya familia ni miongoni mwa vichocheo vinavyochangia katika malezi mabaya ya watoto. Kauli hiyo imetolewa…

24 October 2025, 17:26

Jeshi la zimamoto Kigoma lapata mitambo mipya

Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Kigoma limepokea mtambo wa kisasa wa kuzima moto na vitendea kazi vitakavyowezesha kuboresha upatikanaji wa huduma za zimamoto kwa wananchi. Na Orida Sayon Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekabidhi magari manne…

15 October 2025, 16:52

Waajiri Mbeya watakiwa kusajili wafanyakazi NSSF

Wakuu wa taasisi binafsi na serikali wametakiwa kuwanufaisha wasajili wao na Mfuko Hifadhi ya Jamii wa Taifa (NSSF). Na Hobokela Lwinga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Beno Malisa amewataka waajiri kutimiza takwa la kisheria la kuwasajili wafanyakazi wao katika Mfuko…

8 October 2025, 10:23 am

Watoto hatarini kwa imani potofu za meno ya plastiki

Aidha, ripoti ya kimataifa ya mwaka 2023 kuhusu afya ya kinywa barani Afrika inaonyesha kuwa zaidi ya watoto 1 kati ya 10 katika baadhi ya maeneo ya Tanzania hupoteza maisha au hupata maambukizi makubwa kutokana na vitendo hivyo vinavyofanywa bila…

15 September 2025, 3:52 pm

Teknolojia inavyoathiri malezi ya watoto

Teknolojia inaweza kuwa chachu ya maendeleo ikiwa itatumika kwa uangalifu na kwa ushauri wa karibu kutoka kwa wazazi. Na Joseph Gontako.Imeelezwa kuwa mabadiliko ya kiteknolojia yameathiri mfumo wa malezi katika jamii, kutokana na baadhi ya wazazi kutumia teknolojia zaidi katika…

11 September 2025, 9:38 pm

Viongozi sekta binafsi watakiwa kutokuwa miungu watu

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga,amewaonya viongozi wa sekta binafsi ambao wamekuwa wakijifanya miungu watu kuacha tabia ya kuwanyanyasa wafanyakazi ikiwemo kutowapatia mikataba  Na Mwandishi wetu Sendinga amesema hayo Leo katika kikao Cha kusikiliza na kutatua kero za wananchi,…

10 September 2025, 09:03 am

Mwenyekiti atoa shukrani fidia ujenzi wa bandari kisiwa Mgao

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao ameishukuru Halmashauri ya Mtwara Vijijini kwa kulipa fidia ya ujenzi wa bandari Kisiwani Mgao, huku akitoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari za kiafya kutokana na ongezeko la wageni. Na Musa Mtepa  Mwenyekiti wa Serikali ya…

30 August 2025, 3:30 pm

Marufuku magari zaidi ya tani 10 mjini

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph. Picha na Anna Mhina “Ninachoweza kusema ni kwamba magari yote yenye zaidi ya tani 10” Na Sultani Kandulu Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusufu amewataka wafanyabiashara kushushia bidhaa zao katika eneo la…