Dodoma FM

wanahabari

4 January 2024, 9:43 pm

Wananchi watakiwa kujitokeza kutoa maoni marekebisho ya katiba

Wadau ,wanasiasa wa vyama vya upinzani pamoja na wananchi wamekua wakitoa maoni tofouti juu marekebisho katika miswada hiyo. Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa wananchi kushiriki ipasavyo kutoa maoni na mapendekezo katika Marekebisho ya Muswada wa Sheria za uchaguzi wa…

13 September 2023, 1:23 pm

Wananchi waomba serikali iendelee kuwapatia elimu ya katiba

Wanasheria wanayo nafasi kubwa ya kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya katiba ya nchi ili kuwaongezea uelewa wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Na Khadija Ayoub. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu juu ya katiba ya…

13 July 2023, 12:00 pm

Uchaguzi mdogo wa madiwani Tanzania bara kufanyika leo

Upigaji kura unafanyika katika vituo vilivyotumika wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 na mpiga kura aliyepoteza kadi au kadi yake kuharibika ataruhusiwa kutumia kitambulisho mbadala iwapo tu atakuwa ameandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura . Na Mindi…

21 June 2023, 3:16 pm

Chongolo: Watoto wasimamiwe waende shule

Chongolo amesema wakati watoto wanapokuwa mashuleni sio wakati wa viongozi kukaa ofisini badala yake wajipange na kuratibu kuhakikisha watoto wote wanajiunga na masomo na si vinginevyo. Na Bernadetha Mwakilabi. Katibu mkuu wa Chama Chama Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo amewataka…

28 January 2023, 9:13 am

Mkuu Wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe Ahidi Kuendeleza Mazuri

Na; Bernad Magawa.Mkuu wa wilaya ya Bahi Godwin Gondwe ameahidi kuendeleza mazuri yote yaliyofanywa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya hiyo Mwanahamisi Munkunda na kuwaahidi wananchi wa Bahi kufanya kazi kwa uwezo wake wote ili kuhakikisha kuwa wilaya hiyo inaendelea kuwa…