Dodoma FM
Dodoma FM
2 April 2025, 6:00 pm
Kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, asilimia 11.2 ya watu wote nchini wana ulemavu, idadi hiyo imeongezeka kutoka asilimia 9.3 ilivyokuwa katika sensa ya mwaka 2012. Na Lilian Leopord.Katika jamii, lugha ina nguvu kubwa katika kuunda…
10 June 2024, 7:04 pm
Mwandishi wetu Selemani Kodima amezungumza na Mzazi huyo. Na Seleman Kodima.Pamoja na jitihada zinazofanywa kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanapata elimu kama watoto wengine, bado jitihada hizo hazijazaa matunda. Kutokana uwepo vikwazo kwenye baadhi ya jamii ,leo tunakukutanisha na BABA ambaye…
16 July 2022, 3:55 pm
Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba amewahidi wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea adha hiyo inayowakabili kwa muda mrefu . Waziri Makamba amesema hayo wakati akizungumza na wananachi katika mkutano wa hadhara…
5 April 2022, 1:27 pm
Na; Shani Nicolous. Watu wenye ulemavu wametakiwa kuacha kukaa na kuomba misaada badala yake watafute shughuli za kufanya ili wawezeshwe kufanikisha shughuli zao. Wito huo umetolewa na Bw. Stephano Nyange Bobo mkazi wa Nzuguni ambaye ni mlemavu wa viungo…
16 February 2022, 3:55 pm
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kuelewa kuwa wapo baadhi ya watu wenye ulemavu ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jamii kutokana na kupewa ushirikiano kutoka katika jamii. Akizungumza na taswira ya habari katibu mkuu wa shirikisho la watu wenye ulemavu…
10 December 2021, 12:25 pm
Na; Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa asilimia 70 ya watoto wenye ulemavu wa macho waliosaidiwa kwa kupatiwa vifaa vya kusomea na kupewa kipaumbele shuleni, wamefaulu elimu ya msingi na kijiunga na sekondari. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Shirika la Light For The…
7 December 2021, 9:40 am
Na; Mariam Matundu. Watu wenye ulemavu wameitaka jamii kuacha dhana potofu ya unyanyapaa na kuwaona ni watu wasioweza kujieleza pale wanapofika katika maeneo kutoa huduma mbalimbali . Rajabu Mpilipili ni mkurugenzi wa taasisi ya Youth with disabilities organization na joyce…
1 October 2021, 12:40 pm
Na; Shani Nicolous. Ukosefu wa miundombinu rafiki yakujifunzia katika shule jumuishi nchini imetajwa kuwa changamoto hivyo kuathiri maendeleo ya watu wenye ulemavu. Akizungumza na Taswira ya habari mkurugenzi mtendaji wa kituo cha habari kuhusu walemavu ICD Fredrick Mkatambo amesema kuwa…
28 September 2021, 1:49 pm
Na; Mariam Matundu. Serikali imesema inaendelea na utaratibu wa kujenga na kukarabati vyuo vya watu wenye ulemavu lengo ni kuwasaidia kupata elimu ili wajikwamue kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa hii leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu…
21 September 2021, 12:34 pm
Na;Mindi Joseph. Serikali imeombwa kutoa kipaumbele kikubwa cha bajeti na sera katika kuanzisha na kuendeleza shule jumuishi kwa watoto ili kusaidia maendeleo ya elimu maalumu. Akizungumza na taswira ya habari Msimamizi wa Sera kwenye Mradi wa Elimu Jumuishi unaotekelezwa Mkoani…