Dodoma FM
Dodoma FM
17 December 2025, 8:20 pm
Serikali, asasi za kiraia na wadau wa teknolojia wametakiwa pia kushirikiana katika kuweka mifumo madhubuti ya kulinda watumiaji wa mitandao. Na Godfrey Mengele Jamii imehimizwa kuwapa elimu wanawake na wasichana kuhusu matumizi salama ya mitandao, ikiwemo kulinda taarifa binafsi, kutumia…
12 December 2025, 12:05 pm
“Fedha hizi zitumike kwenye kuleta maendeleo ambayo mmeyaandikia kwenye miradi yenu” Na Hafidh Ally Jumla ya vikundi 71 vinavyoundwa na wananchi wanaojishughulisha na kilimo, ufugaji na viwanda vidogo katika Halmashauri ya wilaya ya Iringa wamepata mikopo ya Asilimia 10 yenye…
1 December 2025, 3:30 pm
Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt Christopher Timbuka, amewataka watumishi wa Halmashauri kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji mpya Hellen Mwembeta, ili kufanikisha jitihada za Serikali za kuwaletea maendeleo wananchi wa wilaya hiyo. Na Bahati Chume Siha-Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Siha,…
18 November 2025, 2:02 pm
“Wajasiriamali wanapaswa kuunganishwa na taasisi za kifedha kwa lengo la kuwainua kichumi” Na Adelphina Kutika Wataalamu waliofadhiliwa na shirika la Campaign for Female Education (CAMFED) nchini Tanzania wameiomba Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) kuwasaidia kuwaunganisha na taasisi za kifedha,…
9 October 2025, 5:17 pm
“Mikopo hiyo inaenda kuwanufaisha kiuchumi vijana, wanawake na watu wenye ulemavu” Na Hafidh Ally Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imefanikiwa kukabidhi mikopo yenye thamani ya Tsh. Milioni 240 katika robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa vikundi 28.…
1 October 2025, 8:10 am
“Mwaarobaini wa soko la kahawa jimbo la Karagwe ni kufuta vyama vya ushirika na kuongeza thamani ya zao hilo kwa kujenga viwanda kila kata”…Anasema Mhina Na Shabani Ngarama, Karagwe, Kagera Mgombe ubunge jimbo la Karagwe Bw. Rwegasira Hemed Mhina ameahidi…
30 September 2025, 1:01 pm
Ligi ya mpira wa miguu wilaya ya Ngorongoro imetatamatika licha ya kukumbwa na changamoto kadha wa kadha ikiwepo kukosekana kwa bajeti ya kutosha kuendesha ligi hiyo. Na mwandishi wetu. Walimu FC wametawazwa mabingwa wa Ligi ya Wilaya ya Ngorongoro baada…
18 September 2025, 08:56 am
Door of Hope Tanzania imewasilisha mrejesho wa mradi wa “Pinga Ukatili, Jenga Amani na Kizazi Chenye Usawa” mkoani Mtwara, ukilenga kupinga ukatili wa kijinsia na kutoa msaada wa kisheria. Viongozi wamesifu mafanikio, ikiwemo kupungua kwa funga nyumba na talaka holela…
11 September 2025, 09:02 am
Jeshi la Polisi Mtwara linawashikilia watuhumiwa 13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za korosho zilizotolewa kwa wakulima msimu wa 2024/2025, wakiwemo watendaji wa serikali Na Musa Mtepa Mtwara, Septemba 10, 2025 – Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia…
6 September 2025, 7:54 pm
Chama Cha Mapinduzi CCM mkoani Kagera kinaendelea na kampeni za kusaka udiwani ubunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maeneo mbalimbali wakiahidi miradi ya maendeleo ikiwa wananchi wataendelea kukichagua Theophilida Felician Bukoba. Wafanya biashara wadogo kando ya…