Dodoma FM
Dodoma FM
6 June 2025, 5:50 pm
Matamanio ya muda mrefu kwa wakazi wa Manispaa ya Geita yakuahidiwa kituo cha kisasa cha mabasi ya abiria huenda yakafanikiwa baada ya Manispaa hiyo kusaini mkataba wa ujenzi. Na Kale Chongela: Halmashauri ya Manispaa ya Geita imesaini mkataba wa ujenzi…
4 June 2025, 15:59
Rushwa ya ngono ndani ya vyombo vya habari, hujumuisha kubadilishana tendo la ngono na ajira, au tendo la ngono na uhakika wa usalama wa kazi na wakati mwingine upendeleo katika kuchapishwa kwa habari. Utafiti uliochapishwa mwaka 2022 na Shirika la…
3 June 2025, 6:27 pm
Wajasiriamali wilayani Nyang’hwale Mkoani Geita watakiwa kutumia mikopo ya asilimia 10 kukuza biashara zao Na Mrisho Sadick: Serikali wilayani Nyang’hwale Mkoani Geita imelitaka shirika la maendeleo ya viwanda vidogo (SIDO) kuongeza nguvu ya kutoa elimu , ujuzi na utambuzi wa…
29 May 2025, 12:03 pm
Katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Marchi mwaka huu, TAKUKURU mkoa wa Geita imefanikiwa kuokoa jumla ya shilingi 14,221,567 katika miradi minne ya elimu ambayo ilibainika kuwa na mapungufu. Na: Ester Mabula: Akitoa taarifa mbele ya waandishi wa habari leo…
27 May 2025, 2:41 pm
Jumla ya mifuko 538 ya saruji imetolewa katika ya mifuko 1,071 iliyoahidiwa ili kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Afya, elimu na miundombinu. Na: Ester Mabula: Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Abdallah Komba leo Mei…
20 May 2025, 4:17 pm
Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri imezua kizaa zaa baada ya baadhi ya watu kukosa katika halmashauri ya manispaa ya Geita. Na: Kale Chongela: Baadhi ya wananchi kata ya kalangalala, halmashauri ya manispaa ya Geita wamelalamikia kitendo cha kukosa…
16 May 2025, 3:33 pm
Na Mzidalfa Zaid Wasanii mkoani Manyara na nchini kwa ujumla wametakiwa kujisajili katika Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) ili kutambuliwa na Baraza hilo na kupatiwa cheti cha sanaa pamoja na kupata fursa zitokanazo na sanaa . Afisa kutoka BASATA…
15 May 2025, 5:12 pm
Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 1.228 kimetolewa kwa vikundi 100 vinavyojumuisha makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili kuweza kujikwamua kiuchumi kupitia miradi mbalimbali. Na: Ester Mabula: Hafla ya utoaji wa mikopo hiyo imefanyika leo Mei 15,…
14 May 2025, 8:11 pm
Jukwaa la maendeleo ya vyama vya ushirika mkoa wa Manyara limefanyika leo, ambapo mkuu wa mkoa wa Manyara Qqueen Sendiga, amewataka wananchi kujiunga na vyama vya ushirika ili kunufaika na fursa zinazopatikana ndani ya vyama hivyo. Na Mzidalfa Zaid Mkuu…
14 May 2025, 9:31 am
‘Mikopo hii ina riba nafuu kabisa na ni maono ya serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwainua wafanyabishara kufikia malengo yao’ – Afisa maendeleo ya Jamii Carlos Gwamgobe Na: Ester Mabula: Serikali kupitia wizara…