Dodoma FM
Dodoma FM
16 December 2025, 8:15 pm
Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia vigezo, sheria na matakwa yote ya kibiashara ili kuepuka kupata adhabu mbalimbali ambazo wanawaweza kuzipata na kupelekea kushuka kibiashara. Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na Meneja wa Chemba ya Taifa ya biashara (TNCC)…
15 December 2025, 4:15 pm
Katika msimu huu wa sikukuu, wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuwa waaminifu kwa kutumia vipimo sahihi na kuacha kutumia vipimo batili ili muuzaji na mnunuzi wote wapate haki sawa. Na Mzidalfa Zaid Hayo yameelezwa leo na Meneja wakala wa vipimo mkoa…
12 December 2025, 12:12 pm
Vipaumbele vikubwa vya fedha hizo za CSR ni huduma za Afya kwakuwa kata hizo zina ongezeko kubwa la watu kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kata nne za Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani…
18 November 2025, 12:21 pm
Fursa ya ufugaji wa Samaki kwa kutumia vizimba iliyokuwa haitazamwi sana kwasasa imekuwa kimbilio Na Mrisho Sadick: Serikali Mkoani Geita imewataka maafisa maendeleo kuhakikisha wanakuwa daraja muhimu la kuwakwamua Wananchi kiuchumi kwa kuibua fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye maeneo yao ikiwemo…
17 October 2025, 11:25 am
Karibu kusikiliza makala maalumu iitwayo Mwanamke na Uongozi ambacho kinapewa nguvu na Chama cha waandishi wa habari wanawake nchini (TAMWA) kwa kushirikiana na Storm FM. Muandaaji wa kipindi hiki ni Ester Mabula pamoja na Amon Mwakalobo
10 October 2025, 2:37 pm
Kurunzi Maalum Utupaji hovyo wa taka ngumu kama plastiki, chupa, matairi na vifaa vya elekroniki unazidi kuwa tatizo kubwa kwa mazingira, taka hizo huchukua muda mrefu sana kuoza, mara nyingi taka hizi huzuia mifereji ya maji, kusababisha mafuriko na kutoa…
9 October 2025, 9:48 pm
Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kuongeza thamani ya mazao ya mbogamboga na mikunde kwa kutengeneza bidhaa mbalimbali zinazotokana na mazao hayo ili kupata masoko ya uhakika ya ndani na nje ya nchi badala ya kuuza mazao ghafi kwa bei ya chini.…
19 September 2025, 1:49 pm
Dhamira ya Storm FM ni kuendelea kuwa chombo madhubuti cha mawasiliano kwa jamii kwa kuhakikisha kuwa wananchi wanapata taarifa sahihi elimu ya kujikinga na majanga. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita leo Septemba 18, 2025,…
4 September 2025, 10:38 am
Mwenge wa uhuru ukiwa wilaya ya Nyangh’wale umetembelea, kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye jumla ya miradi 11 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1. Na: Kale Chongela Mwenge wa uhuru umeridhishwa na ujenzi wa mradi wa visima vitano vya maji katika kata ya Shabaka, halmashauri…
3 September 2025, 9:56 am
Ikumbukwe Mwenge wa uhuru ulipokelewa mkoani Geita Septemba mosi, 2025 ukitokea mkoani Mwanza ambapo umeendelea kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Na: Kale Chongela Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kigalame ameupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya…