Dodoma FM
Dodoma FM
17 December 2025, 9:30 pm
Katika mwaka wa fedha 2025/2026 walitengewa jumla ya kiasi cha Shilingi Bilioni 12.3 kwa ajili ya utekelezaji wa kazi za matengenezo ya aina mbalimbali ya barabara na madaraja Na Mrisho Sadick: Serikali mkoani Geita imetangaza rasmi kuanza kumkata fedha mkandarasi…
27 November 2025, 5:36 pm
Zamani tulikuwa hatufuatilii utabiri wa hali ya hewa, wakati mvua zinanyesha sisi tunaandaa mashamba , mvua ikikata sisi tunapanda matokeo yake mbegu zashambuliwa na wadudu lakini sasa hivi tunafuatilia utabiri na tunavuna vizuri, ahsanteni CAN TZ. Na Cosmas Clement Elimu…
26 November 2025, 14:00
Ufundi stadi una umuhimu mkubwa katika kusaidia kunguza changamoto ya ajira kwa watu wengi. Na Hobokela Lwinga Wahitimu wa vyuo vya ufundi nchini wametakiwa kutumia fani zao walizosomea kwa kujiajiri ili kujiinua kiuchumi na kuachana na malalamiko ya ukosefu wa…
11 November 2025, 4:55 pm
Mkandarasi wa mradi huo hatapewa muda wa nyongeza baada ya siku 100 kukamiliza mapema mwezi wa pili mwaka kesho. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Mtaa wa Mwatulole Manispaa ya Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuendelea kumsukuma mkandarasi anayetekeleza mradi wa…
27 October 2025, 21:38 pm
Mgombea Ubunge wa Mtwara Vijijini kupitia CUF, Shamsia Azizi Mtamba, amewataka wananchi wa Kata ya Madimba kuendelea kumuamini na kumpa kura, akiahidi kuendeleza maendeleo na kulinda kura zao dhidi ya propaganda za kisiasa Na Musa MtepaMtwara–Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la…
8 October 2025, 5:30 pm
Kwa sasa hifadhi hiyo inaendelea kuboresha huduma za utalii, ikiwa ni pamoja na usafiri wa majini, malazi ya kisasa na shughuli za uhamasishaji wa utalii wa ndani. Na Mrisho Sadick: Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo iliyopo wilayani Chato…
6 October 2025, 16:47
Umakini wa Mwanafunzi wakati wa kufanya mtihani ndio sababu kubwa ya kufanya vizuri. Na Lukia Chasanika Wahitimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Izuo wameshauriwa kuwa makini katika vyumba vya mitihani ili kufanya vizuri katika mitihani yao. Ushauri…
2 October 2025, 11:39 am
Watanzania wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025, kuchagua viongozi watakaosimamia maendeleo ya taifa. Wito umetolewa na Nabii Nicolous Suguye wakati wa ziara yake kwenye vituo vya watoto wenye mahitaji maalum, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika…
1 October 2025, 6:22 pm
Picha Na Joyce Elias Wazazi wa watoto wanaosoma katika shule ya msingi terrat wilaya ya simanjiro wamehimizwa kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha huduma za chakula kwa wanafunzi. Akizungumza Katika kikao cha wazazi na uongozi wa shule hiyo Mwenyekiti wa…
26 September 2025, 11:03 am
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mtwara, ikiwataka kuzingatia maadili ya taaluma, haki za binadamu na misingi ya utawala bora, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Waandishi wameahidi kutumia mafunzo…