Dodoma FM

sheria

8 December 2025, 4:36 pm

Jamii Katavi yaaswa kujenga familia imara

“Inanipa uhuru wa kupumua na kuwa na afya njema” Na John Benjamin Baadhi ya vijana wilaya Mpanda mkoani Katavi wametaja matumizi ya njia za uzazi wa mpango yana mchango katika kuboresha ustawi wa jamii na mahusiano ya kifamilia. Wakizungumza na…

5 December 2025, 4:51 pm

Madiwani Buchosa waapa kumaliza kero, migogoro kwa wananchi

Madiwani wateule waapisha rasimi kuwatumikia wananchi baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Mwenzi Oktoba 29 2025 katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza. Na,Michael Mgozi Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Buchosa wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kupunguza migogoro na kero…

2 December 2025, 8:36 pm

Madiwani Babati mji watakiwa kusimamia sheria

Madiwani  kutoka  kata za halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara wameapishwa  rasmi leo kuanza kutekeleza majukumu yao pamoja na kufanyika  uchaguzi wa kumchangua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Baraza la madiwani halmashauri ya mji wa Babati. Na Mzidalfa Zaid…

13 September 2025, 6:56 am

Rushwa ya ngono inaathirije wanawake katika uongozi?

Viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa kupinga ukatili wameweka wazi namna tatizo hili linavyowaathiri wanawake. Na Dinnah Shambe Wanawake wengi wanaojitokeza kuwania nafasi za kisiasa hukumbana na kikwazo kikubwa-rushwa ya ngono,hali hii si tu inawakatisha tama,bali pia inazima ndoto za…

16 April 2025, 6:05 pm

Marufuku kuchapisha picha za watoto mitandaoni

Taswira ya habari imepita mtaani kufahamu watachukua tahadhari gani juu ya sheria hiyo. Na Lilian Leopord.Katika zama za sasa ambapo mitandao ya kijamii inachukua nafasi kubwa katika maisha ya kila siku, wazazi wanakabiliwa na changamoto nyingi kuhusu jinsi ya kushughulikia…

8 March 2025, 11:49 am

Wananchi walalamika kichaka kugeuzwa dampo Geita

Licha ya jitihada zinazofanywa na uongozi wa manispaa ya Geita wa kuweka mazingira safi na salama, bado baadhi ya wananchi wameendeleza tabia ya utupaji taka kiholela katika mazingira yasio rasmi. Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wakazi wa mtaa…