Dodoma FM
Dodoma FM
12 December 2025, 6:19 pm
Viongozi wa walmashauri ya Mpanda katikati ni mkuu wa wilaya Jamila Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Kwa mwaka 2025/2026 halmashauri imejipanga kupokea na kukusanya jumla ya billion 7” Na Samwel Mbugi Halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi imepanga…
30 November 2025, 4:40 pm
“Tunapenda kuisisitiza jamii maambukizi bado yapo kwahiyo waendelee kuchukua tahadhari, tuondoe unyanyapaa na tuwajali wengine” Na Amina Mrisho Kadiri dunia inavyokaribia kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani tarehe 1 Desemba, jamii imeshauriwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Virusi vya…
November 27, 2025, 6:58 am
Mbolea ya ruzuku inauzwa kwa bei tofauti na bei elekezi ya serikali Na Stephano Simbeye Meneja wa Mamlaka ya Mbolea Tanzania Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Joshua Ng’ondya amesema mbolea hiyo imekutwa ikiuzwa katika duka la wakala aitwaye Hemed…
November 20, 2025, 3:02 pm
Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema amewagundua ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…
18 November 2025, 7:14 pm
Picha ya jengo la afya linalojengwa Hospitali ya Halmashauri ya Mlimba. Picha na Kuruthum Mkata Nimeridhishwa na jitihada mnazofanya katika kuboresha huduma za afya; miradi inaendelea kwa kasi na kwa ubora unaotakiwa,” alisema Profesa Tumain Nagu.Naibu katibu mkuu Wizara ya…
10 November 2025, 7:42 pm
Huduma hizi kiafya zmbazo zimetolewa ni sehemu ya maandalizi kuelekea maadhimisho ya miaka 15 ya kuanzishwa kwa Chuo cha SFUCHAS, kinachoendelea kuwa nguzo muhimu katika kutoa elimu na huduma bora za afya nchini Na Katalina Liombechi Kuelekea kumbukizi ya kuanzishwa…
28 October 2025, 10:55 am
“nimekutana na Kamati zote za usalama wilaya ndani ya Mkoa na tumejiridhisha kuwa kampeni zimeenda salama kwa amani na utulivu katika Majimbo yote na hali ya usalama katika Wilaya zote ni shwari.” Na Furahini Jonas Mkuu wa mkoa wa Arusha…
25 October 2025, 1:45 pm
Mfugaji mmoja, Mahela Kahamba Mwanzalima (40), amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na walinzi wa hifadhi ya wanyamapori ya Iluma, wilayani Ulanga, mkoani Morogoro. Tukio hilo limetokea wakati marehemu na wenzake walipokuwa wakijaribu kuchukua mifugo yao iliyokuwa imekamatwa kwa kuchungia…
21 October 2025, 8:08 am
“Kufuatia matokeo hayo wamiliki wa vyombo vya habari wanahitaji kuongeza juhudi zaidi katika kufikia mkakati wa serikali unaolenga kuwa na 50% ya uwakilishi sawa kwenye vyombo vya maamuzi ikiwemo Bunge na Baraza la wawakilishi kwa upande wa Zanzibar kwa kuruhusu…
15 October 2025, 10:53 am
Na Joel Headman Tanzania kama ilivyo kwa nchi zenye mifumo ya kidemokrasia inajiandaa kwa uchaguzi mkuu tarehe 29 Oktoba 2025, unaolenga kupata madiwani,wabunge na rais, viongozi watakaoongoza kwa miaka mitano ijayo. Lakini je unafahamu nini basi kuhusu Rushwa kwenye uchaguzi?