Dodoma FM

Nafasi ya wanawake

6 April 2023, 6:09 pm

Wananchi chemba wanufaika na elimu ya utunzaji ardhi

Hali hii inatajwa kusababishwa na shughuli za kibinadamu ikiwemo kukata miti, uwepo wa milima iliyozungukwa na udongo wa kichanga usioweza kushinadana na kasi ya maji, hali inayotajwa na wataalamu kuwa na athari katika kilimo. Na Mindi Joseph. Baadhi ya wakulima…

5 April 2023, 3:39 pm

Vijana watakiwa kugeukia kilimo ili kuboresha uchumu

Vijana wanapaswa kugeukia kilimo kwa kuzingatia mikakati ya serikali iliyopo. Na Mindi Joseph. Asasi zisizo za kiserikali zimeendelea kushirikiana na serikali kuhakikisha vijana wanajihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi. Taswira ya habari imezungumza na wadau wa asasi…

31 March 2023, 6:50 pm

Tishio la upungufu wa Chakula Dodoma

Upungufu wa mvua umepelekea mazao yaliyopandwa kushindwa kuvunwa kama matarajio ya Mkoa yalivyokuwa. Na Mindi Joseph. Mkoa wa Dodoma unakabiliwa na tishio la kupata upungufu wa chakula kwenye baadhi ya maeneo kutokana na mvua zilizotarajiwa kwa msimu huu kunyesha chini…

29 March 2023, 5:38 pm

Serikali yaanza kudhibiti ndege waharibibu Bahi

Na Fred Cheti. Serikali wilaya Bahi imesema tayari imeshaanza kuchukua hatua ili kuwaangamiza ndege hao. Ndege hao aina ya Kwerea Kwerea wanaoharibu mazao katika vijiji vya Lukali,Mundemu ,Mayamaya na Zanka vilivyopo wilayani Bahi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya…

28 March 2023, 4:46 pm

Wananchi Membe watarajia kunufaika na kilimo cha umwagiliaji

Na Mindi Joseph Ujenzi wa Bwawa la kilimo cha umwangiliaji Membe Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma umefikia asilimia 35 huku  ujenzi huo ukitarajiwa kukamilika mwezi Augosti 2023. Taswira ya Habari imezungumza na Mhandisi Saleh Ramadhan ambaye ni msimamizi mkuu wa ujenzi…

27 March 2023, 2:20 pm

Wananchi Kondoa wasisitizwa kilimo cha umwagiliaji

Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kujikita katika kilimo Cha Umwagiliaji Ili kuondoa Janga la njaa, kujiongezea kipato na kukabiliana na mabadiliko ya tabi ya nchi. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule…

13 March 2023, 3:43 pm

Wananchi wilayani Bahi wasisitizwa kulima mtama

Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilaya ya Bahi kuhakikisha kila kaya inalima ekari mbili za mtama ili kuepuka adha ya kukosa chakula. Na Benard Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gondwe amewaagiza wananchi wilayani humo kuhakikisha kila kaya…

1 March 2023, 4:47 pm

TPHPA kudhibiti viuatilifu bandia

Matumizi Sahihi na Salama ya Viuatilifu yanalenga  kujali Afya ya Watu na Mazingira kwa maendeleo endelevu na Kulinda afya ya binadamu na mazingira kwa usimamizi endelevu na bora wa viuatilifu na afya ya mimea. Na Fred Cheti. Mamlaka ya Afya…